The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,356
- 4,656
Tunaacha shughuli zetu za uchaguzi tuna ongelea watu ambao hawajai mabasi ya Ikarus matano
kuna alikulazimisha uchangie zaid ya kuwashwa kwako!
Tunaacha shughuli zetu za uchaguzi tuna ongelea watu ambao hawajai mabasi ya Ikarus matano
kuna alikulazimisha uchangie zaid ya kuwashwa kwako!
umenikumbusha mbali,kuna jamaa alianza biashara ya jeans za mitumba pale manzese,hamadi kumbe lile robota lilikuwa linatoka china sasa wachina huku juu warefu chini wafupi,zile jeans zilikuwa na kiuno cha mtu mzima lakini urefu wa mtoto,ilimkata mtajiHahaha,aisee mie najua hapa Jokes tu,msinitafute jamani ushari.
Mbona hatusemi kina Diva Beyonce na Mummitto wa bara wanamakalio makubwaaa.
Suala la Maumbile ni la Ki Genetic wakuu.
Kuna watu wa nchi fulani humu duniani wana dushelele balaa,hii ni kutokana na mfumo huo,na wapo wana vidushelele vifupii pia wapo wa maeneo fulani.
Ni Suala la kawaida.
Mfano hata kuhusu mahusiano,ni kwamba kuna Mikoa watu wa mkoa huo wao pesa tu mapenzi baadae.
Na wapo watu Mikoa fulani wao mapenzi ndio nyumbani pesa ni ziada tu.
Na wapo watu wa Mikoa fulani wao ukitongoza hapo hapo unaondoka nae,na wapo watu wa mikoa baadhi kutongoza ni isshe,kama unaomba viza vile.
Wewe utapewa mshipa wewe.
Au vile Msumbiji kuna eneo linaitwa PEMBA,hahahaha
Hapa ukweli upo kwa upande mmoja kuna mseto wa hali ya Juu ya Wamakonde wa Msumbiji na huku.
Na ndio maana Kiongozi yoyote mkuu hata Raisi wa Msumbiji alipofika lazima aje huku aonane na Jumuiya ya wale ambao wao bado wanajiita watu wa Msumbiji.
Lakini wale wenzangu mie tumeishajitoa huko kwa mseto wa maana.
Nahuku zanzabr ukitaka demu cha kwanza jina lako nani ss we sema john au sema natokea bara dah utakoma wakt upande wetu ww kanyaga twende shwaga tu
kaka hao walikuwa ni mademu miaka hiyo sio wa sasa, kwanza wakisikia mtu wa bara ndo wanakukomalia kwani wa kwao ni asubuhi jioni hamjuani na wabara ving'ang'anizi, wanajua kuhandle, wanawamind sana wa bara, kuliko wa kwao ila sasa madume yao yakishaona vile ni full fitna kwa wazazi wake
Hahahaha hilo la kua vilaza nadhani hata wenyewe wanajijua.Nilisoma na waZanzibar Chuo cha diplomasia kazi yao kuuza ubuyu darasani....wengi wana sup semister ya kwanza...wachache wachache sana wanafika mwisho (msuli tembo).Yani nimecheka mno nikiwakumbuka mtu anakyja class na begi madesa hana kajaza ubuyu tena mwanaume.Tulikua tunawakopa balaa.ahahahhahahDuh Zanzibar nilikua naitwa Chogo kisa natokea bara na hii ni kwa wote wanaotokea bara ni common ID kabisa.
Thread yako imenifurahisha kuhusu kua vilaza au vipanga duh hawa wenzetu kwenye ukilaza ni mafundi haswaa watanisamehe kwa hili ila wakija bara ndio utawagundua wao elimu ya kikoloni inawapa shida nina wana kadhaa nikiwakumbuka nacheka tu.
Nimebahatika kuwa karibu na hawa jamaa toka Pemba nilichogundua wengi hawana vichogo,kuna mmoja alidai wakizaliwa huwa wanakandamizwa kichogoni kwa nguvu sijui ni kweli au la.
Kama ni kweli hatuoni kuwa wana disturb modulo oblangata ambayo inawafanya wawe na uwezo tofauti wa kufikiri,kwa sababu nilichojifunza kwao ni kwamba ukikuta Mpemba ana akili anakuwa na akili sana na ukikuta kilaza ni kilaza kweli kweli,hakuna wapemba wenye akili za average ,ni either genius or kilaza.
Mnaotokea pemba hebu tupeni majibu
Mi changu kama cha watoto wa ustadh chogoKwa kawaida kichogoni ndipo kwenye medula oblangata. Sasa kunapokua hakuna kichogo,medula oblangata huwa ina nafasi ndogo-limited space-hivyo ubongo nao huwa mdogo. Hiyo huchangia uwezo wa akili pia kuwa mdogo. Kumbuka tafiti za kisayansi zasema kadri ubongo unavyokua mkubwa ndio uwezo wa kiakili huwa mkubwa. Nimejibu kisayansi zaidi.