muziki wa bongo fleva ndio kwa asilimia kubwa unaua vipaji vya mamilioni ya wanafunzi nchini kupata elimu.siku hizi kila mwanafunzi awe wa primary,sekondari, wanafeli mitihani au wanashindwa kupata elimu ya kuwaendeleza kimasomo na kimaisha.wanachojua wengi wao ni kukariri nyimbo za bongo fleva...