meya wa morogoro mjini asiwe dikteta

meya wa morogoro mjini asiwe dikteta

Greensky

Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
13
Reaction score
1
kuna miradi ya ujenzi imeanza kwa kwa kushirikiana na LAPF.cha kushangaza hataki watu wahoji,watembelee miradi hiyo.kwa mfano hivi karibuni mbunge alikwenda huku akiambatana na diwani lakini cha kushangaza watu wa manispaa wote hawakuepo mara akatokea mkurugurenzi akaahidi kutoa taarifa ya uuzaji wa jengo mojawapo kwa milioni 720.hapo ndipo Chadema nao wakaingilia na kutaka kujua kuhusu ununuzi wa hilo jengo huku wakimuunga mkono mh mbunge.cha ajabu leo meya hataki yoyote yule akakague hata wabia LAPF mpaka wameone yeye.sada swali bado lipo pale pale wananchi wanahoji hilo jengo lilouzwa kwa milioni 720 mbona hataki kulizungumzia?inamaana kuna harufu yayufisadi si ajabu naye yumo.sasa wadau wote wamekatazwa LAPF,chadema,mbunge,diwani wa eneo hilo mh kayenzi .kinachopigiwa kelele ni hizo milioni 720 jengo gani litauzwa kwa bei hiyo?huu ni ufisadi mchana kweupe.
 
CCM ni wezi kila mtu hata wanachama wa nyumba kumi ni wezi wa kura na wezi wa kofia na tshirt ili mradi ni wizi wizi wizi chama chote kuanzia boss hadi mwanachamaaaaaa
 
Back
Top Bottom