Muziki wa bongofleva

Muziki wa bongofleva

Greensky

Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
13
Reaction score
1
muziki wa bongo fleva ndio kwa asilimia kubwa unaua vipaji vya mamilioni ya wanafunzi nchini kupata elimu.siku hizi kila mwanafunzi awe wa primary,sekondari, wanafeli mitihani au wanashindwa kupata elimu ya kuwaendeleza kimasomo na kimaisha.wanachojua wengi wao ni kukariri nyimbo za bongo fleva na kujiandaa kwenda kwenye mapromosheni ya makampuni ya simu na mengineyo.naiomba serikali iliangalie kwa makini suala hili vingenevyo vizazi vijavyo vya baada ya miaka 15 vitakuwa mbumbumbu tu.ningekuwa kiongozi NINGEPIGA MARUFUKU MUZIKI HUU.
 
Serikali mbona inakazi, limtu lishindwe kusoma lenyewe isingiziwe serikali
 
Back
Top Bottom