Kwani komwe ni ulemavu? Mbona mnapenda ku make big deal out of nothing?
Ni sawa uje kuuliza nini kimafanya mtu awe na kanyagio kubwa au pua kubwa au meno makubwa etc.
Kwan komwe lako linakupa changamoto gani on your daily activities hadi uje kufungulia uzi JF??
Hebu tufocus kwenye tangible issues.
Ukweli mchungu ni kwamba mapendekezo yote ya TEC yamefanyiwa kazi, wewe bibi na waislam wenzio mliousifia na kusema hauna kasoro yoyote kisa wawekezaji ni waislam jana mmevuliwa nguo na mwislam mwenzenu mama Samia. Polen sana, TEC 3- Faiza 0. Hii imeenda, kula chuma hiko bibi
Kisiraniii....nyie nyie....au basi.
Mana mtu ananuna bila sababu, self esteem inashuka to zero. Yani hata ukimwambia naomba glass ya maji anakwambia kwahiyo umeanza kunidharau kwakua sina kazi, wakati mwanzo alikua hadi kupika na kufua anafanya.
Asikwambie mtu, mwanaume akikosa hela...
Sasa we ulitaka tuwafunge 5 wafiwa?? Unadhan yanga tuna roho mbaya kama yako. Yani hayo manne tuliowaachia ndo rambirambi, bado hamjasema....mpaka mseme
Huo ndo ukweli, ugonjwa wowote wa kijenetiki lazima wazazi wa pande zote mbili wawe carriers japo wazazi huwa hawapimwi but ndo iko ivo. So relax. Japo ukitaka kupima inawezekana ila kibongobongo am not so sure
Pole sana, sickle cell ni ugonjwa wa kijenetiki kama albinism au down syndrome hivyo hauna dawa, hatima yake ni kutafuta means za kuishi na huo ugonjwa, so kwanza muipokee hyo hali in a positive way kwani sio mwisho wa maisha kwani wapo wengi wanaougua na maisha yanaenda
Jitahd awe anapata...
Bibi unazeeka vibaya, tangu lini Dubai ikawa nchi? Sema mkataba kati ya nchi na jimbo. Yani wewe ukiingia mkataba wa kuzoa taka na jiji la Newyork utasema umeingia mkataba na USA?. Dubai iko chini ya UAE, ili uwe wa nchi na nchi ilibidi thingies na UAE sio Dubai
Acheni kujitoa ufahamu, huu...
Mlete mada umenigusa kabla sijasahau machungu ya juzi kupangiwa ndege sa 11 jioni halafu tukaja kuondoka sa 9 usiku, nafika home asubuh watu wanaenda kanisani misa ya kwanza
Yani mwanamke lazima awe na atleast diploma halafu ni bikra......labda uende jupita broo, hivyo vitu huwezi kuvikuta kwa mtu mmoja bongo hii, nimekaa pale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.