Logo (Nembo) hutengenezwa kwa software mbalimbali kama vile, Adobe illustrator, Adobe photoshop, Cinema 4D, Coral Draw na software zingine nyingi, hizo nilizokutajia ndio software muhimu zaidi. Kikubwa kabla ya kutengeneza Logo unapaswa kua na utaalamu yani (skills) kwani hii ni taaluma kama...