Recent content by Greatest Majani

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwako Balozi Dkt. Wilbroad Peter Slaa

    Hapo maccm hayawezi kukujibu hata nukta moja
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    aaaaaah pole sana, Kwan upo chuo gani & unasoma kozi gani ? Sent from my PTM-Z-mini using JamiiForums mobile app
  3. G

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga: Rais kavunja katiba kuteua wabunge wa kiume 6, inataka wawe wanawake angalau 5

    Mazwazwa wa Lumumba kateni tena viuno
  4. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua mabalozi, Emmanuel Nchimbi aula Brazil

    Upande wa muamsho mmmmh,,,, naona kiza vileeeeeeeeeee
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wanayofanyiwa watuhumiwa wa ugaidi Segerea

    Mwandendeule acha kuropoka ujinga huo, maana huna ushahidi na unachokiongea, na hao watu kama kweli wangekua ni magaidi siku mingi wangekua wameisha hukumiwa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais umeamua kuchagua upande wa wanaokupa taarifa za uongo na majungu, muda utasema

    Yaaaaan n full kukaa kwenye kamera, mwisho ndio kuropoka na yasiyofaa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kusema Tanzania kuna njaa

    Mtoa post nadhan umekurupuka tu, Kwan nilini CCM imewekeza ktk kilimo cha umwagiliaji ? Ila mungu anawaona kwa unafiki wenu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Huyu "mzee bure" aliyetajwa na rais Magufuli ni nani?

    Kiril original ww n noma ila mkuu amekua kama afisa habari wa vyura fc
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mtumbuizaji kupewa bendera ya Taifa!

    Ni ujinga maana diamond hata zaidi 15 minutes, sijui sasa hiyo bendera atajifunga huo ni mwendelezo wa mkurupuko na u mwendokasi
  10. G

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Ninapokubaliana na kutofautiana na Magufuli

    Mimi simuungi mkono raisi na wala haitotokea nikamuunga mkono maana mm si mnafiki kama watu wengine walivyo wanafiki
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mbowe,kulalamika ughaibuni ni woga na udhaifu mkubwa.Mapambano hapahapa Tanzania

    Acha uzwazwaa bila kwenda huko wangesitisha vipi msaada na mikopo hao watu wa ulaya ? Na bado
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu na ni aibu kujipanga foleni mwaka 2020 kuwapigia CHADEMA kura

    Acha ujinga na nahisi unahamu ya kutukanwa
  13. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameleta socialist nirvana

    Kila watanzania 4,mmoja n kichaaa
Back
Top Bottom