Rais Magufuli ameleta socialist nirvana

Rais Magufuli ameleta socialist nirvana

Tokea Magufuli alivyoingia Ikulu Watanzania wamefarijika na wamefaidika.
Juhudi zilizofanyika kuwathibiti wakwepa kodi, mafisadi, wala rushwa, wazembe: hii ndio ilikuwa ndoto ya Watanzania siku nyingi.

Sasa Magufuli ameingia madarakani anatekeleza mambo haya. Bado zipo changamoto za kuleta harmony ndani ya nchi na harmony kati yetu na majirani.
Lakini Watanzania tusishindwe and let us make quarrelling history.

Tuishi kwa a man I from now and forever more.
Hadithi kama hizi uwe unasimulia wanao wakikalibia kulala na sio kuwaeleza watu wazima wenzio.
 
Kwa magufuli kila goti litapigwa tu hata wafanye nini
 
Back
Top Bottom