Recent content by greater G

  1. greater G

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutoa kinga ya VVU mwakani

    Kheee!! Kumbe walengwa wanatambulika na serikali
  2. greater G

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu kimoja nakiona BBC kuhusu Zimbabwe kinashangaza sana

    Hakika umenena vema.
  3. greater G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usije kuthubutu kwenda kulala na mwanamke nyumbani kwake

    Pole kamanda,wanawake hawafai kabisa kuwagegedea kwenye nyumba zao
  4. greater G

    JamiiForums Tanzania Siku Tundu Lissu akirudi haya yanaweza tokea!

    Bombardier tu inawapasua vichwa aisee mara oooh nimemwandikia barua jamaa ,mara iiiiiih wanasheria sijui Nini na nini! Yaani hakieleweki hata kidogo wanachokisema. Jamaa aliona mbali aisee,huo ndio uzalendo na ndiye mzalendo
  5. greater G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amerudi alfajiri akivuja manii

    Ina maana jamaa alikula pekupeku? Aisooo,pole zake
  6. greater G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba buku moja

    Aisee wana jamvi,habari zenu za wk end? Bila shaka Wk end hii inakwenda vzr. Kama kichwa cha habari kijielezavyo hapo juu wakui nina demu niliyehudumu nae miaka mitatu hivi tukipeana mautamu. Mwanamke huyu kwa sasa ambae ki ukweli nikikutana nae au akipita mzigoni kwangu maombi yake makubwa...
  7. greater G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Skinny girls ni kila kitu!

    Mmmh!! Napita tu kwa vimbaumbau hivyo.
  8. greater G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila msichana ninaemtongoza ananiomba hela, whats this?

    Njaa inawakimbiza mbio, sasa hivi hawajui kukataa tena wanaume,papuchi pekee ndio imebakia kitega uchumi chao pekee cha kuwaingizia kipato. Ndio maana wanataka chao mapema
  9. greater G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

    Vyeti feki vilivyofyeka Sh50 Bilioni za Mabenki by AJIRA TANZANIA November 18, 2017  Hatua ya Serikali kuwaondoa watumishi waliobainika kuwa na vyeti feki, imezifanya taasisi za fedha kutojua hatima ya Sh50 bilioni walizokopesha kwa watumishi hao. Mkurugenzi mtendaji wa NMB, Ineke...
  10. greater G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za msichana anayekupenda kimapenzi lakini anashindwa kukuambia au kukueleza!

    Namba 14 umeitoa wapi mkuu,au ndo kitu cha Arusha kinafanya kazi muda huu?
  11. greater G

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana mabonge wananuka sana

    Mbona mnatokwa povu? Humu si kuna mabonge watujibu basi,maana kama ni practical wanayo wenyewe
  12. greater G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananiomba hela, nikimpa ananiomba radhi

    Mkuu,huyo demu anafaa sana katika zama hizi ambazo vyuma vimekaza
  13. greater G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa Dar: Dk. Shika ni mpole na anaonekana kuyajua mapenzi

    Bongo bahati mbaya aisee
  14. greater G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boyfriend wangu nampenda ila tabia zake zinanikera

    Sasa akamshike nani mkono? Wee utakuwa na mahawara wengi ndo maana unakataa asikushike mkono. Dada,kumbuka Ku share pesa ni jambo la kawaida tu siku hizi.
  15. greater G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikosea kuolewa na huyu, nimekutana na perfect choice kazini

    Mi nyenyere na tamaa havijawahi kumuacha mtu salama aisee
Back
Top Bottom