Recent content by GREAT ZILLA

  1. GREAT ZILLA

    JamiiForums Utambuzi wa vyeti feki (Al-Maarufu vya Kariakoo)

    Vyeti vina namba zilizoungwa kwenye database ya NECTA na vyuo mbalimbali. Atakamatwa tu ipo siku! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. GREAT ZILLA

    JamiiForums Naomba tofauti kati Degree hii kwa UDSM na UDOM

    Eti vipanga! Bado sana ninyi watanzania kwenye maswala ya elimu! Vyuo vyote Tanzania vinalingana ubora wala havina tofauti yoyote isipokuwa majengo tu! Walimu ni wale wale, wanafunzi ni wale wale na mitaala ni ile ile! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. GREAT ZILLA

    JamiiForums Sababu kwanini hutakiwi kujichanganya na watu 'uliowapiga gap' kubwa kimaisha

    Utajiri ni very relative term. Mtu akishamudu kula sambusa mbili kwa siku eti na yeye anajiita tajiri! Come on... Maisha ya watanzania wengi ni ya kawaida sana! Tunaweza kujenga na kununua magari haya uchwara lakini si kwamba tuna ukwasi wa kutufanya kujitenga na hao tunaowaita masikini...
  4. GREAT ZILLA

    JamiiForums Sababu kwanini hutakiwi kujichanganya na watu 'uliowapiga gap' kubwa kimaisha

    Leo humu kila mtu kawa tajiri! Baadae unasikia "naombeni msaada wa chakula". Tuache maigizo! Asilimia 80 ya watanzania ni masikini! Hiyo asilimia 20 iliyobaki haichukui hata asilimia 5 ya waliomo humu!
  5. GREAT ZILLA

    JamiiForums Kwa muonekano wa nje, Ikulu ya Dar es Salaam ni nzuri kuliko Ikulu ya Dodoma

    Wakandarasi wetu ni zero kabisa!
  6. GREAT ZILLA

    JamiiForums Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

    Ndio hivyo mkuu! Hii ni balance of nature! Dunia haiwezi kubeba mabilioni ya watu! Umati wa watu unaleta magonjwa na njaa! Mpaka wengine wanaanza kula popo na wadudu. Kisha magonjwa yanawarudia na kuwamaliza! This is how nature balances itself!
  7. GREAT ZILLA

    JamiiForums Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

    Sawa. Lakini sikuleta corona mimi. Ni coincidence tu kwamba corona inafanya kazi nzuri ya kusawazisha dunia. This is a natural balancing. Believe me!
  8. GREAT ZILLA

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Yanayotokea Kenya ni aibu tupu, tazameni hii video

    Wananchi wenyewe wameshapigwa na maisha wamechoka bado unawaongezea marungu! Kwani hiyo corona ni ugonjwa special kiasi gani? Yaani watu wafe njaa kwa sababu ya corona? Are we joking?
  9. GREAT ZILLA

    JamiiForums Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

    Watakaokufa na wafe. Hakuna namna! Dunia itaendelea na watakaobaki! Tena hii kasi ya vifo ingehamia Africa tupunguze idadi ya watu ili dunia iwe stabilized kwa uwiano sahihi wa watu na rasilimali. Mijitu inazaa zaa hovyo tu usiku na mchana! Dunia inazidi kuwa finyu na ngumu kwa ajili ya...
  10. GREAT ZILLA

    JamiiForums Eti hatutaki "level seat"

    Baada ya Tangazo la amri ya kudhibiti na kuzuia daladala kujaza watu kama magunia, wakaibuka watu wanalalamika kwamba level seat ni jambo lisilowezekana! Wanataka kuendelea na utaratibu wao waliouzoea ili wapate faida. Nikawa najiuliza, licha ya hatari ya maambukizi ya corona katika hali hiyo...
  11. GREAT ZILLA

    JamiiForums Mahakama yaamuru jengo karibu na Ikulu lipunguzwe urefu

    Ngoja tuone.
Back
Top Bottom