Yanayotokea Kenya ni aibu tupu, tazameni hii video

Hawa wapinzani nini? Tumezoea kuona wapinzani Tanzania wakipitia balaa hii.
 
Lock down ni ngumu kwenye hizi nchi zetu. Lakini ndio njia pekee ya kupunguza kuenea kwa ugonjwa...
Sasa hawa watu wanapigwa kwa kosa gani?, mbona hao wamama hawajafanya kosa lolote?.

Tatizo la viongozi wa Kenya hawana uwezo kabisa, wanakurupuka Sana bila maandalizi yoyote, miradi yao karibu yote inashindikana kwa sababu ya kukosa maandalizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo yakujifunza kwa mataifa yetu ya africa na kuyapigia kelele kama watu mnavyopiga kelele kwenye corona..
Dunia isikie uonevu mkubwa unaofanywa na vyombo vya dora kwa kukiuka haki za kibinadam.

Ukwel ni kuwa Sijawah ona rais anaekemea hadharan na kuleta mabadiriko kwenye vyombo vya dora..

Zaidi wanapoingia madarakani hutumia vyombo vya dora kulinda masrah yao..

Tunapaswa kuchagua na kupata viongz ambao wataweza ondoa mifumo hii ya kidikteta kwa polisi na majeshi mangine..mitazamo ibadirike.

Bila kufanya hivyo, basi
Haki usawa na maendeleo katika jamii yoyote iwe ndogo au kubwa haviwez kuwepo,na raia hawawez furahia mataifa yao.
 
This is very primitive behaviour by our police. Kenyan police is one of the most brutal in the world. Such things make me hate our police completely. Hii ni nchi ya ujinga sana. Polisi wanatreat wananchi kama mbwa. Wanapiga wanawake rungu? Wanawapiga 2 hours before curfew? Halafu rais Kenyatta atanyamaza, hataongea kuhusu huu unyama. Hii nchi ni ya ujinga sana. I am ashamed to be a Kenyan.
 
Back
Top Bottom