nikiwa mdogo kama wa miaka 10 hivi, tulikuwa tunatoka kanisani na baadhi ya ndugu njiani tulipishana na mwana mama mweupe akiwa amekasirika sana, na mgongoni alikuwa amebeba mtu mwenye umbo dogo kama mtoto ila hakuwa mtoto.
Aliyebebwa alikuwa mzee mweusi sana nywele ndefu ila moja moja( ngozi ya...
Nyinyi ni wavivu na huo ndio ukweli, kwa kipindi kirefu hiki chuo kimekua cha kijinga sana, sasa ni wakati wa kunyooshwa, hamna nidhamu na hamjui lolote, wewe binafsi ni mara ngapi unaenda rotation? Nyinyi rotation hamtaki kwenda na kwenye practice hakuna mnachojua. Unakuja kulalamika hapa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.