Kuna mtego Iran anaingia pasipo kujua

Kuna mtego Iran anaingia pasipo kujua

Wewe ni mpumbavu mmoja... Israel na Marekani wamewekeza nguvu kujitetea wakati wao ndio walianza kushambulia kwa kuvizia? Kinachoonekana kwa sasa wameishiwa nguvu ndio maana wanapiga ukelele wa kuomba mapumziko.

Mtenda kutendewa basi uchungu mpaka kunako
 
Ukichagua upande juu ya hii vita itakutesa sana ndio maana wakat wa giza (bila intanet ) tuliaminishwa RAMBO ANOLD na makomando wengne wanao uwezo wa kuipiga nch yoyote peke yao

Leo intanet ipo ndio maana kuna mawazo tofaut sababu killa kitu kipo waz

Iran akipigwa naye anajibu marekan akipigwa naye anajibu lakn kuna mtu anaamin iran hajarusha kombora hata moja na mwingine anaamin iran hakuna aliyeuawa hata kifo cha ayatolah n propaganda

Kama vita hii ingekuwa rahis bas israel angeenda peke yake tu lakn anaungana na marekan maana yake ameiona nguvu ya iran

MUDA NI MWALIMU MZURI LETS WAIT AND SEE
 
Kila mtu kaona iran kachangiwa na mataifa mawili , inatosha kabisa kusema Israel peke yake bila marekani ni mchumba tu kwa iranView attachment 3556273

Kimedani haiko hivyo.

Ndio maana Swala au sungura Mdogo anaweza kukimbizwa na Simba watatu hata wanne.

Ni suala la medani za kivita.
Hiyo ni intelligence, ni Akili.
Lakini pia ni njia ya kufanya kazi iwe rahisi.
Kushare warcost n.k.
 
Unadhani Muajemi hayajui hayo unayoyahisi wewe? Anachosumbuka nacho miaka nenda rudi ni lile kundi dogo la makabila ya kusini ambayo ni almost 20% ya population ya hao ambao kwa kiasi kikubwa ndio wauza taarifa za Muajemi kwa Israel ila pamoja na yote Muajemi kwa intelijensia ni mwamba kupitiliza. Achana na stereo type tuliyolishwa miaka nenda rudi ya Israel na Marekani kuhusu intelijensia zao.
Jana wanadiplomasia 4 wa Iran, kufika tu Lebanon, wote wakauawa! Unafikiri hicho ni kitu rahisi? Walijuaje kuwa wanadiplomasia wa Iran wanaenda Lebanon? Walijuaje watakuwa wapi muda huo? Kumfuatilia kiongozi hadi kumwua tena wakati na yeye anachukua tahadhari za kiusalama, siyo jambo rahisi. Lazima tukubali kuwa intelijensia ya Israel ipo mbali sana ukilinganisha na ile ya Iran.

Na kama Israel ingeamua kupiga ovyo kama inavyofanya Iran, sahizi ingekuwa ni maelfu ya Wairan wamekufa..
Israel na Marekani wanajifahidi sana kuepuka mauaji ya raia ili wawananchi wa Iran wawaunge mkono katika kuuondoa utawala dhalimu na katili wa Ayafollah. Hata hivyo, kama waswahili wasemavyo, vita haina macho, bado kuna raia wa Iran wameuawa.
 
Kuna mtego ambao iran anaingia pasipo kujua

Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Lsrael wana uwezo wa kujua siri za ndani ya iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa iran walipo na kuwaua je washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa iran?

Je kama walijua Iran ni tishio kwao kwanini wali attack iran ?

Je kwanini wanawekeza nguvu zao nyingi katika kujitetea na kuonyesha dunia kuwa wanaonea ? Kama umefatilia vizuri vita hivi zaidi upande wa israel wamekuwa wakionyesha huruma kuwa wanaonewa iran inashambulia makazi ya watu. wao wana shambulia vituo vya kijeshi

Kwanini wanashindwa kutangaza vita kamili zidi ya iran?

Ukijiuliza maswali yote haya utagundua kuna hesabu za mbali zinapigwa hapa ambazo matokeo yake yatakuja kujulikana hapo mbeleni kidogo tuombe uzima tu
Tukiweka ushabiki pembeni kiuhalisia USA na Israel walifeli kiintelijensia.
Hata maseneta wenyewe huko wanamuwashia moto Trump kulingana na vita inavyoendelea.
Hawakuwa na intelijensia kamili ya uwezo wa silaha wa Iran wala idadi ya silaha za Iran na maghala yake.
Na hilo wenyewe wamekiri kiuwazi.
 
Tuwape mda ndo rafiki wa kila kitu hii post yangu ipo siku mtairudia
Kama nilivyosema kuhusu hezbollah na hamas miaka ya nyuma hapo
Malengo ya Israel na USA yalikua regime change mkuu.
Na hii vita ilianza tangu January maandamano yalipochochewa.
US na Israel walifadhili silaha kwa waasi wakikurdi ila wakafeli.
Kiufupi mipango yao imefeli wala sio kusema kwamba Iran ameingizwa mtegoni.
Kama kaingizwa mtegoni kwanini Trump anamuomba Putin amsaidie kumaliza hii vita kidiplomasia!??
Hizbollah huko nao wamechachamaa wanashambulia kama vichaa.
 
Ni kweli ila imeondoa ujinga ujinga ule wa taifa teule

Taifa teule sio ujinga ni propaganda muhimu kwa upande wa Israel na Marekani. Hiyo Biblia yenyewe inaonyesha Waisrael kuna wakati walikuwa wanashindwa lakini mwisho wa Siku wao lazima wawe washindi.

Iran kwa upande wao nao hutumia propaganda ya namna hiyohiyo kwa kumtumia Allah na uislam. Ili kupata wafuasi wanaoamini katika uislam na huyo Allah.

So wote wanatumia mbinu zilezile lakini mkakati unaweza kuwa tofauti.

Ni wachache Sana wanaoangalia vita hiyo katika Jicho la HAKI.
Wengi wapo kishabiki, kiiimani, n.k.
 
Yeah ni kweli unayoyasema
 
Kuna mtego ambao iran anaingia pasipo kujua
Ila wewe umeweza kujua huo mtego?
Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Lsrael wana uwezo wa kujua siri za ndani ya iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa iran walipo na kuwaua je washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa iran?
Unajua maana ya EGO!?
Je kama walijua Iran ni tishio kwao kwanini wali attack iran ?
Ego!
Je kwanini wanawekeza nguvu zao nyingi katika kujitetea na kuonyesha dunia kuwa wanaonea ? Kama umefatilia vizuri vita hivi zaidi upande wa israel wamekuwa wakionyesha huruma kuwa wanaonewa iran inashambulia makazi ya watu. wao wana shambulia vituo vya kijeshi
Kutia tia huruma ndio tabia ya Mazayuni.
Hao Mazayuni na Marekani kushambulia makazi ya watu ni kawaida yao pia, mara nyingi wamefanya hivyo na ushahidi upo.
Kwanini wanashindwa kutangaza vita kamili zidi ya iran?
Vita kamili!?
Acha uchizi!!!
Ukijiuliza maswali yote haya utagundua kuna hesabu za mbali zinapigwa hapa ambazo matokeo yake yatakuja kujulikana hapo mbeleni kidogo tuombe uzima tu
Haya maswali yako yote ni maswali ya kitoto!
Hakuna hesabu zozote za mbali, Trump alishashauriwa na makamanda wa Pentagon kutoingia vitani na Iran, ila ameshinikizwa na Mazayuni kuingia vitani.
Hii vita haina faida wala manufaa yoyote kwa Marekani.
 
Jana wanadiplomasia 4 wa Iran, kufika tu Lebanon, wote wakauawa! Unafikiri hicho ni kitu rahisi? Walijuaje kuwa wanadiplomasia wa Iran wanaenda Lebanon? Walijuaje watakuwa wapi muda huo? Kumfuatilia kiongozi hadi kumwua tena wakati na yeye anachukua tahadhari za kiusalama, siyo jambo rahisi. Lazima tukubali kuwa intelijensia ya Israel ipo mbali sana ukilinganisha na ile ya Iran.

Na kama Israel ingeamua kupiga ovyo kama inavyofanya Iran, sahizi ingekuwa ni maelfu ya Wairan wamekufa..
Israel na Marekani wanajifahidi sana kuepuka mauaji ya raia ili wawananchi wa Iran wawaunge mkono katika kuuondoa utawala dhalimu na katili wa Ayafollah. Hata hivyo, kama waswahili wasemavyo, vita haina macho, bado kuna raia wa Iran wameuawa.
Usituongopee kijana.
USA na Israel wanapiga wanavyotaka na wanalenga raia.
Hadi sasa raia 1010+ wameuawa Iran.
Hospitali na misikiti imelipuliwa deliberately.
Kinachomsaidia Iran ni Air defense system zake zinajitahidi kupunguza madhara,kama wangekua wana anga jeupe kama Syria au Gaza basi tungezungumza mengine.
 
Yeah ni kweli unayoyasema

Humu wengi wanashabikia huo ujinga uliouita uteule(udini)
Ndio maana Kikosi kinakuwaga kilekile.

Ikitokea vita yoyote duniani humu makundi yatajigawa walewale.
Waislam waangalia upande wa uislam mfano Waislam wengi wale itikadi Kali wapo upande wa Russia huku wakristo na waliberali wakiwa upande wa Ukraine
 
Hata wewe upo humohumo!
Pande zako zinajulikana mjoli!!!
Kuna wakati unajaribu kuvaa vazi la u-neutral lakini unachemka!
 
Kuna mtego ambao iran anaingia pasipo kujua

Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Lsrael wana uwezo wa kujua siri za ndani ya iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa iran walipo na kuwaua je washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa iran?

Je kama walijua Iran ni tishio kwao kwanini wali attack iran ?

Je kwanini wanawekeza nguvu zao nyingi katika kujitetea na kuonyesha dunia kuwa wanaonea ? Kama umefatilia vizuri vita hivi zaidi upande wa israel wamekuwa wakionyesha huruma kuwa wanaonewa iran inashambulia makazi ya watu. wao wana shambulia vituo vya kijeshi

Kwanini wanashindwa kutangaza vita kamili zidi ya iran?

Ukijiuliza maswali yote haya utagundua kuna hesabu za mbali zinapigwa hapa ambazo matokeo yake yatakuja kujulikana hapo mbeleni kidogo tuombe uzima tu
Sawa chambuzi la mambo ya vita toka yombo kwa limboa.
 
Huo mtego labda unauona wewe.

EU,US na Gulf state wote wamemvutia waya Putin ,wamalize hii vita kidiplomasia.Iran kawambia ataamua kwa mda wake na kwa terms zake.
Screenshot_20260311_092559_TikTok.jpg

Yaani unamlia mtu timing, base zako nyingi zaidi ya asilimia tisini zimelipuliwa, rada zako kumi zimelipuliwa, huyo mtu unamlia timing vipi.Mtu pekee anayeweza kumalimaliza hili ni Putin, nae naona amekaa kimya anawatizama EU wakiumia kwani stock yao ya mafuta na gas inaenda kukata mda si mrefu.

Labda karata iliyo bakia ni Nuclear na Myahudi kajichanganya alivyo lipua oil refinery ya Iran. Siku inayo fuatia Iran kalipua bandari,viwanja vya ndege,oil refinery na vituo vya kuzalisha umeme.

Sasa hivi Iran ameshaanza kuzilipua radar za myahudi naona hii phase ndio itakuwa mbaya sana.
 
Jana wanadiplomasia 4 wa Iran, kufika tu Lebanon, wote wakauawa! Unafikiri hicho ni kitu rahisi? Walijuaje kuwa wanadiplomasia wa Iran wanaenda Lebanon? Walijuaje watakuwa wapi muda huo? Kumfuatilia kiongozi hadi kumwua tena wakati na yeye anachukua tahadhari za kiusalama, siyo jambo rahisi. Lazima tukubali kuwa intelijensia ya Israel ipo mbali sana ukilinganisha na ile ya Iran.

Na kama Israel ingeamua kupiga ovyo kama inavyofanya Iran, sahizi ingekuwa ni maelfu ya Wairan wamekufa..
Israel na Marekani wanajifahidi sana kuepuka mauaji ya raia ili wawananchi wa Iran wawaunge mkono katika kuuondoa utawala dhalimu na katili wa Ayafollah. Hata hivyo, kama waswahili wasemavyo, vita haina macho, bado kuna raia wa Iran wameuawa.
Shambulio la siku ya kwanza kwanza la Myahudi na US ,limepiga shule ya msingi Iran kwa bomu la Tomahawk na kuangamiza watoto zaidi ya mia na hamsini au hawa wana hatia.

Unalipua oil Refinery,huoni unawaumiza watu wasio na hatia.
 
Hizo hesabu walishindwa kuzipiga wakati wanachezea kichapo kule Vietnam na Afghanistan hadi wakafungasha virago kwa aibu?

Ukweli ni kwamba Iran anao uwezo mkubwa wa teknolojia ya zana za kivita ndiyo maana anajipogia popote atakapo ndani ya ardhi ya Israel pamoja na kuzichakaza kambi zote za Marekani mashariki ya kati.

Kumbuka Marekani na Israel wana mifumo imara sana ya ulinzi wa anga lakini umeshindwa kuzuia makombora ya Iran. Hadi hapo bado unaibeza nguvu ya Iran?

Iran anazitandika nchi zaidi ya kumi kwa mpigo na kwa shabaha halisi bado unapigwa propaganda za miaka ya 80?
Kubeza nguvu ya Iran ni kosa kubwa, na mashabiki ndio wanaobeza. USA na Israel wanamjua vizuri sana Iran, wanajua vizuri sana wanachofanya. Kuhusu Afghan na Iraq naongeza na Libya, hawa jamaa (USA) naona kama kuna mchezo wanaucheza cha msingi wao wapete wanachohitaji. Hizo nchi nilizozitaja sio tioshio tena kwa USA na interest zake, Libya ya Ghadafi haipo, Afghan ya Osama haipo, na Iraq ya Saddam haipo. Ni nchi masikini kabisa, wanatwangana, nchi nyingine wameachiwa Waislam hawataki hata mtoto wa kike aende shule akasome, wapate rasilimali watu, wao wan awake ni wakulomba tu, tena wanampotezea future kabisa, miaka Tisa anaolewa na kijeba udevu unaning'inia kifuani (Afghani) usitegemee nchi ya namna hii ikawa tishio tena. Amesha wavuruga hawaelewani na kiuchumi mixer vikwazo hali ni mbaya. Sasa kwa Iran vita itapigwa, Iran sio boya. Mwamba lazima apatikane Wallahi.
 
Kuna mtego ambao iran anaingia pasipo kujua

Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama Marekani na Lsrael wana uwezo wa kujua siri za ndani ya iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa iran walipo na kuwaua je washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa iran?

Je kama walijua Iran ni tishio kwao kwanini wali attack iran ?

Je kwanini wanawekeza nguvu zao nyingi katika kujitetea na kuonyesha dunia kuwa wanaonea ? Kama umefatilia vizuri vita hivi zaidi upande wa israel wamekuwa wakionyesha huruma kuwa wanaonewa iran inashambulia makazi ya watu. wao wana shambulia vituo vya kijeshi

Kwanini wanashindwa kutangaza vita kamili zidi ya iran?

Ukijiuliza maswali yote haya utagundua kuna hesabu za mbali zinapigwa hapa ambazo matokeo yake yatakuja kujulikana hapo mbeleni kidogo tuombe uzima tu
Wakiristo wa jf mnashida sana
 
Mtego kaujua Kingwendu wa Buza !!
 
Back
Top Bottom