Wakiwamaliza hao wembe utahamia kwa wale wafanyakazi waliokua wakifanya biadhara then wakazifunga bila kutoa taarifa TRA ili kusimamisha TIN namba zao. Kupitia TIN namba walizo submit watauona moto. Unakuta mtu alifunga biadhara yake tangu 2016 na hakutoa taarifa ya kusitishwa TIN namba yake...
The older I get, ni habari nyingine aise. Mimi pia huyu mwamba nimeanza kumsikiliza juzi juzi tu najuta kwanini nimechelewa kumjua huyu mtu. Kama una ma song yake fanya kushare na Mimi whatsapp basi. Kama unayo naomba uniambie nikutumie namba PM
Ukijiua tutakumiss Sana hapa jf, hebu pambana kiume natumaini kuna siku utaleta mrejesho hapa jinsi ulivyolishinda hili bonde la umasikini. Never lose hope as long as you still alive. Pambana pambana pambana
Unaweza hisi kuna ushirikina kwenye hii biashara, pale unapotaka kufanikiwa kuna Kama pepo linakuja kukutibulia. Naanza kuhisi hii biashara pia inahitaji nguvu za kiroho pia
JF imenifunza mengi Sana, Ila pamoja na yote ule Uzi wetu pendwa wa "wazee wakuweka mzigo"umenifanya kuwa mtu katika watu. Namshukuru Sana alieanzisha ule Uzi japo ndio hivyo tena kanuni mpya za mtandaoni zimetuzulumu haki yetu.
That why I love my daughter to the moon and back. Pia njia ya kuonyesha unampenda ni kumpenda mama yake. She will feel completely loved
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.