Recent content by gracek198

  1. G

    Namtabiria Liberatus Sabas nafasi ya IGP

    Khaaaa yani hapa nimevunjika mbavu zooote,jaman hivi watu wanajua utani,Barlow mweeeeee tushamsahau na kumsahau khaaaa
  2. G

    Dkt. Mwaka aonyesha vyeti na vibali vyake

    We nawe khaaa hujui kusoma au?hiyo 31.oct.2016 imeshafika?? Khaaaa
  3. G

    Mpenzi wangu amejisaidia haja ndogo kitandani, kumuuliza akasema ni bahati mbaya

    Hahahaaa uwi mkuu usimuache,mimi ishanitokea sio mara moja,nikiwa hivi hivi na mvi zangu,sio ugonjwa ni kupuuzia kukojoa muda ule wa kulala,thn ucku unaota km ndoto upo kichakan unajojoa,bt mkojo wake unaweza kuuwahi ukihis tu unashtuka unaenda choon bt huyo wako itakua ni uchovu tu so mvumilie mkuu
  4. G

    Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

    Wanajua maeneo ya wapiga dili ,madudu ni mengi kuliko mazuri ndo mana tunashabikia,akitoka TPA aende TRA wote wale wale
  5. G

    Ni kweli watoto wa Dr. Magufuli wanasoma shule za kata?

    Wabongo bn wakaianza kung'ang'ania kitu kimoja mpk utachoka,hiyo St Mathew ni shule ya kawaida tu msiogope kuona neno St.,mnapaswa kujua tu amaeishi maisha ya kawaida usikute kuliko hata viongoz wengine isipokua Nyerere,sasa mmeng'ang'ania St.mathew weeee
  6. G

    Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Yaani mmekaa kinegative negative,kuweni na mawazo chanya hata mara moja khaa.atakwama atakwama kwanza yeye km yeye rais Maguful ni jeshi tyr la mtu mmoja hata kusingekua na mawazir pekeyake anatosha kabisaaaa,tumeona aliyoyafanya even without hao so called mawazir
  7. G

    Wanawake acheni kuvaa mawigi

    Khaa we noma unazichezea mpk zinanyofoka,i cant u
  8. G

    Picha: wakenya wakamatwa wakiiba nyama South Africa

    Sifa yao kubwa wakenya ni ubinafs na chuki,aibu ilioje
  9. G

    Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Tofauti na matarajio ya watanzani,safi sn mh.rais ni matumaini yangu ataendana na kasi ya mr.presdent
  10. G

    Kiingereza cha mheshimiwa huko Dodoma

    Yaani ni shida khaaaa,kodi zetu jamanii wawakilishi wenyewe ndio hawa,mhh haya
  11. G

    Wanawake: Naomba mjijali mkiwa wajawazito, ili tusiangukie pembeni

    Jaman mtusamehe bure wanaume,unajua wamama wengine akishakua pregn wanakuaga na aleji na vipodoz so mtusamehe
Back
Top Bottom