General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
Magu ni mchagaa??
Daah mkuu nimekosea bana
Ni SIAMON SIRO
Mtu anaefaa kuwa IGP kwa maoni yangu kama MANGU AKISTAAFU NI ALIEKUA KAMANDA WA MKOA WA MWANZA
kamanda BARO
yule ni msomi
Halafu anaongozwa na busara sana na muadilifu sana
NAMUOMBEA MEMA SIKU MOJA AJE AWE
Wadau.
Nachukua fursa hii kumtabiria mema kamanda wa polisi mkoani Arusha SACP Sabas.
Arusha imetulia,uchaguzi wa Arusha mjini ulikwenda vyema.
Kwa mara ya kwanza Godbles Lema amelipongeza jeshi la polisi Arusha lilivyoshiriki ktk uchaguzi.
Sabas ni hazina ya Polisi.

Mkuu tutake radhi wadau wa JF! Barlow si alifariki miaka kama miwili iliyopita kama sijakosea? Huyo si ndo alipigwa cha moto na majambawazi? Sasa wewe sijui ni mgeni hata Samaria? Unless kama unamaanisha Valentino Mlowola (ingawa huyu keshakula shavu pale PCCB) anakaimu nafasi ya Hosea! Ama vinginevyo ulitaka kusema Simon N. Siro!
Tobaaa Baro yupi unamzungumzia hapa hivi wewe uko Tanzania kweliii?
Mtu anaefaa kuwa IGP kwa maoni yangu kama MANGU AKISTAAFU NI ALIEKUA KAMANDA WA MKOA WA MWANZA
SIMON SIRO
yule ni msomi
Halafu anaongozwa na busara sana na muadilifu sana
NAMUOMBEA MEMA SIKU MOJA AJE AWE
mangu sio wa kutoka saa hizi,ka;ma yule sabba mmembatiza kuwa ukawa,mwambieni IT HAS EATEN TO HIM.
IMEKULA KWAKE.
asanteni kunitabiria cheo kikubwa
Umefufuka?
Wadau.
Nachukua fursa hii kumtabiria mema kamanda wa polisi mkoani Arusha SACP Sabas.
Arusha imetulia,uchaguzi wa Arusha mjini ulikwenda vyema.
Kwa mara ya kwanza Godbles Lema amelipongeza jeshi la polisi Arusha lilivyoshiriki ktk uchaguzi.
Sabas ni hazina ya Polisi.
mtake msitake .Robert Boaz ndio igp Siku zijazo
Baro yupi? Make Rpc Baro alishafariki siku nying au kuna baro mwingine?
Mangu alimsapoti lowassa,timu lowassa atavujisha mambo mengi ya nchi hafai