Recent content by goswe

  1. goswe

    JamiiForums Tanzania 'Wakatoliki' Parokia ya Yombo Dovya wapanda miti kusherekea Birthday ya Samia

    Petro hakuwa padri alioa
  2. goswe

    JamiiForums Tanzania Katika vita vya pili Ujerumani had the best military technology kuliko USA wala Urusi lakini ilikuwaje wakashidwa vita?

    Alipigana na watu wengi. Hakuwa na mipango.
  3. goswe

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Katika wakat wa mwisho biblia inasema Mungu atakuwa amefukuzwa kanisani. Na watu wanafanha taratibu zao wenyewe. Yupo nje ya kanisa anabisha hodi. Sio ayo madhehebu wala sio ao wajiitao manabii na mitume. Kaka injili inarudi israel sasa. Kama walivyomkataa yesu ikaja kwetu, na sisi...
  4. goswe

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Watu wangu wananagamizww kwa kukosa maarifa. Unaabudu usichokijua. Mungu haabudiwi kwa kila njia. Ana njia yake aliyoiweka kuabudiwa. Unachokiabudu kifatilie. Ila nauhakika sio Mungu unaemfikiria
  5. goswe

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Unajua waumini amna shida. Mmeenda kumtafuta Mungu. Isipokiwa system ambayo mmeenda kumtafutia. Io system ni ushetani wa siri. Io maana yake mbadala wa mwana wamungu duniani. Ni jina la papa kubwa ambalo hata kofia yake imeandika, na ipo kwenye kipaji cha uso wa kofia hio. Mbadala wa...
  6. goswe

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Unamjua vicar fil dei??
  7. goswe

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    1 Petro 4:18 [18]Na kama mwenye haki anaokoka kwa shida, yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi ataonekana wapi?
  8. goswe

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Ezekieli 33:7-9 [8]Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako. [9]Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia yake, kusudi aiache; wala yeye...
  9. goswe

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Niambie maana ya kuabudu sanamu ambayo umefungwa nayo
  10. goswe

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Sanamu ni nini kabla sijakujibu?
  11. goswe

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Jitoeni kwenye dhehebu lolote. Mmefungwa mafungu mafungu kwa ajili ha kuchomwa. Ila ngano imewekwa ghalani. Nje ya hayo makundi makundi ya madhehebu.
  12. goswe

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Basi ww ni mwabudu sanamu. Ezekieli 33:8-9 [8]Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako. [9]Walakini ukimwonya mtu mbaya kwa sababu ya njia...
  13. goswe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimae nimekuwa huru baada ya kuishi nae miaka 12

    Aliyekusababisha uwekwenye kifungo hiko je pia umejiweka huru naye. Maana huyo mwanamke alitumika tuu
  14. goswe

    JamiiForums Tanzania Nitazeeka, ipo siku nitakufa huku nikiwa na faraja kuwa katika maisha yangu nilihushudia viongozi kuntu hawa wawili (natural born leaders)

    Hutakuwa na muda wakuitambua io unayoiita faraja. Unadhani kuzimu kuna nafasi ya kuwaza faraja.
  15. goswe

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhama Catholic

    Ni heri uwe mkristo. Japo mmechagua kuwa madhehebu Tatizo halijaanza kwenye michango. Michango ni matokeo ya mfumo uliooza
Back
Top Bottom