Kwa taarifa yako mwema kwa wema wake tunaye mitaa ya moshi kwenye kahawa misibani hata msikitini hahitaji wapambe,huwezi amini ukikutana na mwema utadhani anakujua kwa jinsi anavyosalimia,anaishi maisha ya kawaida,hana makuu,,,,SAID MWEMA MUNGU AKUBARIKI,UMEKUWA MFANO WA WATUMISHI WALIOTUMIA...