Blackninja
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 376
- 306
Hii taasisi ni matatizo sana.
Mwaka wa 3 huu mirathi hawatoi kama hawana hela waseme sio kutusumbua tu leta hiki mara leta kile.
wewe officer unaesema file langu halina shida unashangaa kwa nini silipwi ...... mimi nakushangaa wewe iweje silipwi wakati kila document mliyotaka nimewapa.
Unasema
Niende kwa mkuu wa wilaya au mkoa ndio mtashughulikia kwa haraka ninyi apo ofisini mnafanya kazi gani? Si mnalipwa kwa kodi zetu ??
Mnakera sana na mbinguni hamuendi. Mungu awalaani