goshaiwedi
Member
- Feb 23, 2020
- 60
- 76
Basi wangechagua hata jina zuri,,,evodia!!mi wameniita evodia hawa mbwa
Basi wangechagua hata jina zuri,,,evodia!!mi wameniita evodia hawa mbwa
sio yote ya kike me wameniita rajabuHivi imekuaje majina yote ni ya kike, japo nimepata meseji ya kuombwa radhi. Ni sio NMB tu hata wiki iliyopita CRDB walikuwa na issue kama hii.
Hakuna namna jina hilo limemdondokea, ila hata mimi meseji kama hiyo nimepata japo jina lilikua jingine. Nadhani system yao imeingiliwa na vijana wa mjini, waangalie tu senti zezu zisigusweHatari Mkuu kwa hiyo umelikubali hilo jina????
Hii simu ni itel ila wana JF kwa kujikweza tu sasa screen shots nyingi zinaonesha watu wengi wanatumia itel,Infnix na TecnoMi nimeitwa ANIFA, japo waliniomba radhi masaa kadhaa mbele. Tuwavumilie tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamaniiii sophy
wangemalizia majina ya ukoo watu wangevunja mbavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bora wew....mimi wameniita Mwantumu
Wasipukutishe tu "200" twetu!Hakuna namna jina hilo limemdondokea, ila hata mimi meseji kama hiyo nimepata japo jina lilikua jingine. Nadhani system yao imeingiliwa na vijana wa mjini, waangalie tu senti zezu zisiguswe
Zuena nitampata wapi eehMie nimetwa ZUENA
kumbe na CRDB nao ndo yale yale 😁😁😁😁😁Hivi imekuaje majina yote ni ya kike, japo nimepata meseji ya kuombwa radhi. Ni sio NMB tu hata wiki iliyopita CRDB walikuwa na issue kama hii.
Loading...........loadin...... 404 Error!Sophia sio jina, ni neno mbadala la neno mteja! Kiswahili kimekuwa. Tizama kwenye kamusi.