Je, inawezekana kubadilisha jina kwenye leseni ya Udereva?

Tuanzie kwenye njia ulizotumia kupata leseni.kiutaratibu zoezi linaanzia kwenye TIN,ambapo ni lazima cheti cha kuzaliwa au kitambulisho cha NIDA kihusike,na taarifa zote za kwenye cheti cha kuzaliwa/NIDA ndizo hizo hizo zinazotumika kwenye leseni, sasa wewe mwenzetu hilo jina la Lawrence lilipatikana wapi kuna kitu katika process zako hakikuenda kiusahihi
 
Dogo unakumbuka kwamba TIN namba yako uliisajili kwa majina hayo? na ina alama za vidole? bila shaka majina hayohayo ndiyo yaliyopo kwenye Natinal ID yako? kama sio,,,,,,,,, kila la heri .................... ila kama ndiyo pambana ila itachukua nguvu nyingi
 
tuanzie kwenye njia ulizotumia kupata leseni.kiutaratibu zoezi linaanzia kwenye TIN,ambapo ni lazima cheti cha kuzaliwa au kitambulisho cha NIDA kihusike,na taarifa zote za kwenye cheti cha kuzaliwa/NIDA ndizo hizo hizo zinazotumika kwenye leseni,sasa wewe mwenzetu hilo jina la Lawrence lilipatikana wapi.kuna kitu katika process zako hakikuenda kiusahihi
kupata TIN nlitumia ktambulisho cha nida ambacho kna jna la lawrence. ktambulisho cha nida nlipata bila kutumia chet chochote kile (vyeti vyangu vilikuwa mkoa mwngne)kwa hyo nkaamua kujibatiza jina nnalolipenda la lawrence.
 
Dogo unakumbuka kwamba TIN namba yako uliisajili kwa majina hayo? na ina alama za vidole? bila shaka majina hayohayo ndiyo yaliyopo kwenye Natinal ID yako? kama sio,,,,,,,,, kila la heri .................... ila kama ndiyo pambana ila itachukua nguvu nyingi
kupata TIN nlitumia ktambulisho cha nida ambacho kna jna la lawrence. ktambulisho cha nida nlipata bila kutumia chet chochote kile (vyeti vyangu vilikuwa mkoa mwngne)kwa hyo nkaamua kujibatiza jina nnalolipenda la lawrence.
 
Tuanzie Nida,Ulijiandikishaje bila chet cha kuzaliwa?
bila shaka ulienda mwenyewe kwaajili ya fingerprint.
anyaway
Kwenye Chet cha kuzaliwa hapana shaka uliletewa nyumbani.
Alieandikisha jina lako Rita alitumia la Shule.

hebu mtafute ndugu
Don Nalimison
member saa mbovu.

Huenda atakusaidia maana saa mbovu wakati MWINGINE HUSEMA KWELI.
 
don yuko bize na mtoto wa obama hana mda wa kujibu post. anakwambia yy hataki urais wa tz teena
 
Nenda kwa mwanasheria kaandika deedpull, kisha nenda kwa msajili wa title kaisajili, tumia document utakayopewa yenye majina unayotaka kubadilisha jina la leseni n.k
 
Vijana wa siku hizi mna matatizo sana. Hamshughulishi akili zenu. Eidha ni kutafuta majibu Google au kuuliza humu JF hata mambo ambayo yanahitaji common sense tu kuyaelewa. Ka mfano, utatuulizaje kama inawezekana leseni yako uliyoipata January 2020 kuedit kwny system na ikaonekana niliipata january 2017? Yaani serikali ikusaidie kufanya forgery?

Hebu tuoishe huko usitupoteze muda.
 
sawa asante
 
sawa nshakupisha mkuu
 
Jan 2020 uedit iwe jan 2017, ni taratibu za wapi hizo?
Wewe lazima utakua mtu wa kufoji vyeti, unafojifoji paka unasahau jina ulilofoji ni lipi.
 
hayo yote ni majina yake kapata vyeti ambavyo vinaendana na hilo jina ili aombe kazi ndio maana anaamini serikali itamsaidia kufanya forgery ili kurudisha muda aliopata leseni wacha niishie hapo ila huo ndio ukweli hakuna Binadamu ambae akisahu vyeti vyake nyumbani atasahau jina la tatu labda awe ana matatizo binafsi...
 
Back
Top Bottom