Recent content by gormahai

  1. G

    Magari kumi ya bei ghali zaidi duniani 2014

    Jamani ungeweka na Picha kuziona tafadhali km Kuna uwezekano!
  2. G

    Mkutano wa CHADEMA ubungo msewe leo

    Ccm leaks woud from It's death invite patriots for the burrial!
  3. G

    DR SLAA: Siwezi kusheherekea Siku ya Uhuru na Mafisadi

    Wakati mwingine twendeni mbele tupambabue mambo na c kupeleshwa2 hivi! Dr.Slaa yuko sahihi uhuru kuhidimishwa cku yake hugarimu Mikwanja si mchezo,hafu Kuna kengine et mbiyo za mwenge Haya madudu hayana maana kabisa na halic na ukata pamoja matatizo nchini!
  4. G

    Symbion Power: Intelligence watupu

    Ni kweli kabisa mtoa Mada hili ni kamilfu na yakini Jk ypo El kadhalika bilashaka Tuombeni Mungu waumbuke nchi iende kwa Mpibzani UKAWA tujue kuchambua masuke na ngano
  5. G

    Watergate scandal ya mwaka 1974 kule USA mnaikumbuka?

    Siasa za wenzetu ndo zona demokrasia ya kweli Watergate ni Scandal ambapo Rais Richard M. Nixon alijiuzulu kwa kusema maneno Haya " by taking this process I will have hastened the start of the process of healing that American need so desparately" kwa tafsiri yangu isiyo rasmi "kwa kuchukua hatua...
  6. G

    Watu hawa ni hatari kuiba pesa kwenye Tigopesa

    Napata Picha wadau naskia Kuna lina za tigo huuzwa elf 50.na wawezakuta mtu1 ana line zaidi ya 100 na Kila line huingiza elfu 14 kwa cku.najiuliza Hawa wanacheza mchezo gani km c wizi wa mitandaoni!!
  7. G

    Arusha: CCM waanza kujitoa uchaguzi serikali za mitaa, CHADEMA yapita bila kupingwa mitaa 9

    Hizo ni laana za Rada,Ndege ya Rais,EPA,Deep Green,Kiwira,Buzwagi na Escrow bado sana2 waanze maombolezo ya mazishi ya CCM.
  8. G

    Tundu Lissu ni mgonjwa leo nimeamini

    Mtoa Mada nahic yupo ICU bila shaka na wanafikiri Nyerere Mungu km ambavyo Kina jk wanataka tuwaone as a demigods
  9. G

    Tundu Lissu ni mgonjwa leo nimeamini

    Jamani waafrika hatubadiliki2 kwani Nyerere yeye alikuwa Mungu hana mapungufu! Pamoja na kuwa amefanya mengi Kuna,mazuri na mabaya jua Lissu anataaluma ya Sheria tena LLM kiwango cha Master so he has constitutional law concerning Katiba lazima tumsikilize coz ni taaluma yake!!
Back
Top Bottom