Mkutano wa CHADEMA ubungo msewe leo

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,361
2,000
Mbunge Mnyika ana kazi kubwa sana huko Ubungo. Barabara, maji na usalama ni utata mtupu jimbo la Ubungo.

respect wa boda

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
4,536
2,000
Oooouuupsss..... yako wapi yale mapanya yanayodai ati Mnyika Kachokwa huko Ubungo??

Kazi kweli Mnyika twanga hao nyoka wa wa kibisi kichwani wasipate kupumua nyambafu zao

BACK TANGANYIKA
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
5,791
2,000
Mbunge Mnyika ana kazi kubwa sana huko Ubungo. Barabara, maji na usalama ni utata mtupu jimbo la Ubungo.

maji maji ndio ishu kosa lake alimuita kikwete daifu so kikwete kaamua kumuonyesha yaani huku watu tunavunda ndoo 1000,
 
AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,511
2,000
Hata kama kuna matatizo gani ubungo lakini bado sijaona akili ya kureplace nafasi ya Mnyika pale ubungo, kama Mnyika wakikunyima ubunge mwakani usisumbuke, kaa kimya then baada ya miaka 2 tu wanaubungo wenyewe watakuja kukulia. Kwa hapo alipofika Mnyika anaweza kuja kugombea jimbo lingine lolote nchini na akashinda vizuri tu.
 
TOWNSEND

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,601
1,225
maji maji ndio ishu kosa lake alimuita kikwete daifu so kikwete kaamua kumuonyesha yaani huku watu tunavunda ndoo 1000,

mbona dawasco walitangaza maji hayatakuwepokwa sababu ya maunganisho ya bomba mpya?

mnyika alipewa sh ngapi kwa ajili ya maji.....huku kwetu geita mwaka jana waziri wa maji akiongozana na jk prezda walituahidi maji yatapatikana baada ya 3month sasa ni mwaka japo mgodi umesha tengeneza pump na bomba kubwa km 25 toka z victoria na tank serikali ywtu tukufu ni miaka 3 sasa wanashindwa kuyasambaza mtaani
 
Mjomba Mkude

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
287
195
Mbunge Mnyika ana kazi kubwa sana huko Ubungo. Barabara, maji na usalama ni utata mtupu jimbo la Ubungo.

..ulitaka Mnyika alete maji kwa pesa ipi?,au ajenge barabara kwa fungu lipi?, au aweke polisi kwa ajili ya ulinzi. Ni vyema kufahamu majukumu ya Mbunge, Mnyika ametekeleza majukumu yake kwa ufasaha kabisa. Jitokeze tar 14.,mimi nafanya mazoezi ya kuwatwanga CCM tar 14.
 
hans79

JF-Expert Member
May 4, 2011
3,802
1,225
maji maji ndio ishu kosa lake alimuita kikwete daifu so kikwete kaamua kumuonyesha yaani huku watu tunavunda ndoo 1000,
Huduma ya maji ni karibu maeneo mengi ya Dar si ya kurizisha labda wewe si mkazi wa Dar, Je Segerea ambako mbunge wake ni waziri pia naye alimtukana kikwete!
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
5,791
2,000
..ulitaka Mnyika alete maji kwa pesa ipi?,au ajenge barabara kwa fungu lipi?, au aweke polisi kwa ajili ya ulinzi. Ni vyema kufahamu majukumu ya Mbunge, Mnyika ametekeleza majukumu yake kwa ufasaha kabisa. Jitokeze tar 14.,mimi nafanya mazoezi ya kuwatwanga CCM tar 14.
majukumu ya mbunge ni yapi,kutunga sheria au kukariri kanuni na kuomba miongozo,au kupitisha bajeti ambazo hazifaidishi jimbo lako,kuna kituo cha polisi pale golani shortcut ya chuo kutokea baruti kimekamilika tangu mwaka jana hakina polisi kwenda kwa RPC kumuomba polisi nayo ni kazi watu wanakabwa giza likiingia tu
 
SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
381
195
Ndiyo maana hamana maji wakati wenzenu tunamwagilia maua.

Hata kama kuna matatizo gani ubungo lakini bado sijaona akili ya kureplace nafasi ya Mnyika pale ubungo, kama Mnyika wakikunyima ubunge mwakani usisumbuke, kaa kimya then baada ya miaka 2 tu wanaubungo wenyewe watakuja kukulia. Kwa hapo alipofika Mnyika anaweza kuja kugombea jimbo lingine lolote nchini na akashinda vizuri tu.
 
ferre.g

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
2,217
1,195
Yule mmwaga tindikali walisifia juzi eti maelfu sasa hawa sijui tusemeje...
 
GJHariohay

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
1,026
2,000
maji maji ndio ishu kosa lake alimuita kikwete daifu so kikwete kaamua kumuonyesha yaani huku watu tunavunda ndoo 1000,
Maji yeye kayapeleka kwake??? Jiongeze wew acha kuleta hoja dhaifu,, mnyika alipeleka hoja binafsi ya maji bungeni nani hajui??
Hela inaliwa na watu wachache bado Mr dhaifu anapata kugugumizi kuwaondoa hao mafisadi wakati ni hela ambazo zingetosha kusambaza maji mikoa zaidi ya 5 sasa mnyika afanyaje hapo??
Nani hakuona mchango wa mnyika juu ya maendeleo ya jimbo lake??

Fanyeni reasoning mnapotoa comments huku and be matured pls
 
KirilOriginal

JF-Expert Member
Feb 13, 2012
2,140
2,000

Mkutano wa chadema ubungo msewe sasa hivi,yupo mnyika na Tundu Lissu na Mabere Marando watu wametoroka makazini kwao na biashara zimesimama msewe nzima, ila Mnyika kazi anayo kwani maji hayajatoka wiki ya pili sasa
Unaposema Mnyika kazi anayo nashindwa kukuelewa...Maghembe anayajua haya au ndo turufu ya srikali ya maccm kumbania mbunge wa upinzani kwamba Mnyika kafanya lipi..
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
5,791
2,000
mnyika namkubali kwenye ishu za kitaifa ila huwa anajisahau kama kura zake zinatoka ubungo,anakuwa kama mbunge wa taifa vile ,anaangalia maslahi ya watanzania wote wakati nyumbani kunaungua,inabidi abadilike angalia mwenzake nassari kila siku yupo jimboni iwe misiba au harusi ,michezo kazi za jamii yuko na wapiga kura,mbona slaa alitafuta wafadhili karatu wakachimba visima bila msaada wa serikali
 
BABA E's

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
354
195

Mkutano wa chadema ubungo msewe sasa hivi,yupo mnyika na Tundu Lissu na Mabere Marando watu wametoroka makazini kwao na biashara zimesimama msewe nzima, ila Mnyika kazi anayo kwani maji hayajatoka wiki ya pili sasa
tafadhali kaka maji ni wiki ya tatu sasa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom