DR SLAA: Siwezi kusheherekea Siku ya Uhuru na Mafisadi

DR SLAA: Siwezi kusheherekea Siku ya Uhuru na Mafisadi

Mh nchi hii kilamtu nayake kichwani nchi kama kunawatu wameishika kiganjan da Tanzania hii sielew tuelekeako na jiran mwema hatuna labda serenget watatupokea wazee wa bifu
 
Yepi? Bainisha ueleweke.
Haya hapa!!!!

attachment.php
 
yeah wapo watu familia za viongozi wa zamani na sasa siku hiii huifurahia toka moyoni wakihesabu mali zao na vyeo walivyopeana wanafanya cheers ya glass na miili na wapo wengi hulazimika kwa mujibu wa kazi zao na nafasi zao
 
Kumbe mzee slaa alivyoiba pesa za kanisa za watoto yatima siyo ufisadi na hata kuiba wake za watu nao ni ufisadi huyu mzee kituko kweli.
Yaani uko jinga kweli kweli. Tuachie tuonaomfahamu toka akiwa Padre, hiyo ccbrt wanauza pilau?
 
Slaa aeleze Sabodo ametoa hela mala mbili kuchimba visima ktk majimbo yote ya chadema lakini hakuna hata kimoja, fuso la matangazo eti 600ml kama siyo ufisadi ni nini? Je wakiingia madarakani si balaa hili?
 
Sherehe ingekuwa na maana kama viongozi wake wangekuwa wazalendo wa kweli lakini kwa ufisadi huu ni sawa tu usisherehekee mkuu.
 
Kwanini afanye kazi bila faida kujua?

Mizengwe Pinda alitakiwa atangaze kwamba katibu mkuu wa kila chama cha siasa atapata ruzuku kama akihudhuria sherehe za uhuru. Au asipohudhuria basi apigwe tuu.... maana tumechoka sasa😡
 
Inaeleweka kuwa mnapewa buku 7 ili kumtukana Dr Slaa mitandaoni. Hebu basi jadili mada baadala ya kusakama personality yake!

Kwa hiyo kutafuna pesa ya Ruzuku ni personal,wengine ni ufisadi.
Sasa kwani hapo attack ipo wapi?jibuni hiyo HOJA ya Ruzuku fasta......MSALANI NJOO .......TUWAJIBU.
 
Dr Slaa wewe ndiyo Rais wetu, asante kwa neno la hekima hata mimi naungana na wewe.
 
Hoja siyo kutokushirikiana na mafisadi kwa kukaa katika kiti kimoja, hoja ni CHADEMA kufanya nini kuhusu sherehe kama hizi kama ikipewa ridhaa ya kuongoza.

Sijawahi kusoma kama watafuta sherehe kama hizi hata kwenye mpango wa kazi 2010-2015 ambao CHADEMA walipanga kuutekeleza kama wangepewa ridhaa ya kuongoza nchi.

Kitu gani CHADEMA itakifanya kuhusu sherehe kama za uhuru ambacho kiko tofauti na kinachofanywa na wale anawaita mafisadi.

this is now total absurdity. yaani unataka CHADEMA waweke mpango kazi wa kufanya sherehe? really?

sasa tofauti yao na CCM itakuwa ni nini?

that's why hata siku moja watz dizaini hiihawatakaa waelewe kinachosimamiwa na wana mapinduzi kama Dr Slaa.
 
Nini maoni yako?

Dr ametoa kauli kua sababu ya kutoonekana katika sherehe za maadhimisho ya uhuru wa Tanzania bara kuwa ni "Kupinga kusheherekea siku hii na mafisadi."

Kwa ujumla Dr Slaa ameonesha kukerwa na MABILIONI YA SHILINGI yanayoteketezwa na serikali kuandaa na kusheherekea siku hii ilihali wananchi wanataabika kwa kukosa huduma muhimu ambazo ndio maana ya uhuru wao, kwa mfano maji safi, elimu bora na makazi bora.

Kwamba MABILIONI hayo yangekua na maana zaidi kama yangetumika kutatua kero hizi kwa manufaa ya Watanzania wote,

SOURCE:- RAIA MWEMA 11/12/2014.

Anazeeka vibaya huyo
 
Ruzuku ya Chadema Dr. Slaa ameitumia kumjengea nyumba Josefin

Wewe tikiti maji(nje kijani ndani nyekundu kama damu) una evidence wa ufisadi ndani cdm? Au umepokea share ya escrow sasa unakuja kuzitapika humu jamvini???
 
Wakati mwingine twendeni mbele tupambabue mambo na c kupeleshwa2 hivi! Dr.Slaa yuko sahihi uhuru kuhidimishwa cku yake hugarimu Mikwanja si mchezo,hafu Kuna kengine et mbiyo za mwenge Haya madudu hayana maana kabisa na halic na ukata pamoja matatizo nchini!
 
Nini maoni yako?

Dr ametoa kauli kua sababu ya kutoonekana katika sherehe za maadhimisho ya uhuru wa Tanzania bara kuwa ni "Kupinga kusheherekea siku hii na mafisadi."

Kwa ujumla Dr Slaa ameonesha kukerwa na MABILIONI YA SHILINGI yanayoteketezwa na serikali kuandaa na kusheherekea siku hii ilihali wananchi wanataabika kwa kukosa huduma muhimu ambazo ndio maana ya uhuru wao, kwa mfano maji safi, elimu bora na makazi bora.

Kwamba MABILIONI hayo yangekua na maana zaidi kama yangetumika kutatua kero hizi kwa manufaa ya Watanzania wote,

SOURCE:- RAIA MWEMA 11/12/2014.

Dr, umenena
 
Back
Top Bottom