Nilifikiri ni mimi mwenyewe ndo hiyo kitu huwa inanikera. Lengo lake ni zuri lakini gari nyingi hazina on/off switch hapo kwa dashboard. Yangu mpaka uingie kwenye menu then sub menu kisha ndo uipate.Tatizo ni kwamba kila nikizima gari,inarudi kuwa on,hapo ndo inapoharibu mood ya kuendesha...
Ni vigumu sana kuchagua Cologne nzuri kwa ujumla kwa kuwa unapulizia kulingana na mazingira au hali ya hewa.Ndo maana watu kama Kiranga Nyani Ngabu wana collection kubwa sana ya hivyo vitu. Kwa mlio nyumbani suala la hali ya hewa huwa haliwaathiri sana.
Kama ningeambiwa nichague let's say tatu...
Wakuu za leo? Naona kuna maswali mengi sana kuhusu ufanano wa haya manukato mawili. Sikuwa na hiyo Club de nuit intense ikabidi niagize ili nizilinganishe.
Kwanza nilijaribu kwenda department stores,kama Sephora,Dillard's na Macys hawana club de nuit,kwa hiyo option pekee ilikuwa ni kuagiza...
https://leg.mt.gov/bills/mca/title_0610/chapter_0080/part_0030/section_0030/0610-0080-0030-0030.html
Mkuu naona unafikiri sisi maboya.Najua huu uzi ni was cruise control lakini kama kuna pa kuwekana sawa tunawekana sawa.Link ya msela sectionb(B) Inasema on any other public highway speed limit is...
Kiongozi kama umesoma vizuri nilichoandika,190E haiwezi kuwa ya diesel,sasa kamaukufanya modification kama uliofanya basi ile namba 190E inakuwa haina maana tena. Pili Unapofanya modification kama uliyofanya kuna gharama iliyotumika,na mara nyingi lengo huwa ni kupunguza gharama za mafuta,swali...
Hapana mkuu,Ni kweli Ford alikuwa anamiliki Land Rover,kisha akamuuzia TATA. Na hiyo Ford explorer ni crossover unibody na wala sio body on frame kama discover. Ford alinunua Land Rover kutoka kwa BMW group.
Mkuu inawezekana tatizo ni lugha. Mbona picha uliyopiga hapo juu ina maelezo yote ?
Kwa kifupi ni dawa ya Fungus(nafikiri ni mba kwa kiswahili) Hiyo ni maalum kwa maambukizi ya fungus yanayotokea ukeni. Hivyo vidonge vinasokomezwa huko ukeni kutibu hilo tatizo. Nafikiri nimesaidia.
Mkuu kama ukiona miji kumi inayoongoza kwa foleni za magari na katika hiyo miji hujaona New York,San Francisco wala Atlanta basi jiulize mara mara mbili mbili kama hiyo listi ni ya uhakika.
Inawezkana kuwa wapo,ila cha muhimu kujiulza ni je washachakachuliwa au vipi ? Maana Tanzania sidhani kama tuna sajili pure breed ya wanyama.
Kwa wenzetu kama ukigundua kuwa amakuuzia mnyama aliyechakachuliwa unalipwa fidia ya maana sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.