Matumizi ya Cruise Control kwenye gari

No speed limit[edit]
On March 10, 1996,[103] a Montana patrolman issued a speeding ticket to a driver traveling at 85 mph (136 km/h) on a stretch of State Highway 200. The 50‑year‑old driver (Rudy Stanko) was operating a 1996 Chevrolet Camaro with less than 10,000 miles (16,093 km) on the odometer. Although the officer gave no opinion as to what would have been a reasonable speed, the driver was convicted. The driver appealed to the Montana Supreme Court. The Court reversed the conviction in case No. 97-486 on December 23, 1998; it held that a law requiring drivers to drive at a non-numerical "reasonable and proper" speed "is so vague that it violates the Due Process Clause ... of the Montana Constitution".

Effective May 28, 1999, as a result of that decision, the Montana Legislature established a speed limit of 75 mph.[104]

  • Montana's US, State, and even Secondary roads have speed limits posted 70 mph/night:65; truck:60/night:55.
Seven years later, a research study conducted by the Insurance Institute for Highway Safety, a long-time advocate of the federal National Maximum Speed Law, showed Montana's 75 mph speed limit on rural Interstates was well received by motorists; traffic speed measurements taken by IIHS showed 76 percent of cars in compliance with 75 mph on those roads. IIHS also found large trucks subject to Montana's unchanged 65 mph speed limit for large trucks on rural Interstates slowed down dramatically, from a mean speed of 70 mph in 1996 to 65 mph in 2006, with the 85th percentile large truck speed dropping 11 mph, from 79 mph in 1996 to 68 mph in 2006.[105]

nadhani hapo tutaelewana vizuri.Sijui wewe hiyo miaka sita unaihesabu vipi,lakini ukisoma hapo nafikiri utaelewa.
Endesha gari uingie Montana; usisome Wikipedia tu ambayo hata mimi naweza kwenda kuandika maoni yangu. Nenda mtaani uone. Sikumbuki barabara, lakini iwapo unatoka Wyoming au South Dakota kuingia Montana ingia kwenye county highways ukutane na habari yenyewe. Kwenye state nyingi, watu hudhani kuwa hizo county highways ni slow sana, lakini hali siyo kwa Montana. Usitake kuifanya madaa hii ya Cruise control kuwa ya speed limits kwenye barabara za USA; ukitaka anzisha mada nyingine ya kuorodhesha speed limits za barabara za USA ukiomba uwekewe na picha. Mimi nimeshapiga road trips nyingi sana USA kwa miaka takriban 20 sasa, na nakaribia kumaliza nchi yote kwa barabara tu. Na wewe jaribu kupiga road trips ujifunze nchi na barabara hizo. Haya ya kwenda Wikipedia na kudhani ndipo kuna majibu halisi unakuwa unakosa vingi.
 
[/QUOT
 
Hiyo miaka 20 ni michache sana,nimepiga road trips nchi hii tangu 1995,ninafahamu ninachoandika.Hata hapo montana nishapita sana kuelekea washington state.Wewe ndio ulidandia treni kwa mbele kuleta habari ya unlimited speed limit kwa barabara ambazo huna reference hata moja. Ni bora wikipedia ambayo wametoa mifano ya case na juridictaion kuliko mtu mmoja ambaye hata mfano mmoja hana.Jioni njema mkuu.Kuwa mwangalifu na state troopers
 
Bora kutoa wikipedia kuliko kuamini matango pori unayonilisha.Hiyo Montana nimepita sana nikielekea washington state mara nyingi. Na hata hiyi njia ya unayoisema mimi naifahamu.Wewe ndo udandia uzi na kuleta habari ya speed limit.Jioni njema.
Kama ulipita Montana kwenda Washington State na kupitia milima ile ya Idaho ulikuwa kwenye Interstate tu, ingawa sijui ulikuwa unatokea wapi. Baraba ile i-90 mimi nimeshaipitia yote kutokea New York City hadi Seattle kupitia Minneapolis, Sioux Falls, na Rapid City na ninaijua yote. Hiyo ina speed limits kwa sababu ni Interstate na kuna sehemu kadhaa ambazo inashare codes na State Highways. Nimekuambia ingia kwenye County Highways wewe unarudi kwenye brara za state na za federal, kwa nini unakwepa kuzungumzia barabara hizo ambazo huwa hazina magari mengi na vile vile hazina speed limit?
 
Kama ulipita Montana kwenda Washington State na kupitia milima ile ya Idaho ulikuwa kwenye Interstate tu, ingawa sijui ulikuwa unatokea wapi. Baraba ile i-90 mimi nimeshaipitia yote kutokea New York City hadi Seattle kupitia Minneapolis, Sioux Falls, na Rapid City na ninaijua yote. Hiyo ina speed limits kwa sababu ni Interstate na kuna sehemu kadhaa ambazo inashare codes na State Highways. Nimekuambia ingia kwenye County Highways wewe unarudi kwenye brara za state na za federal, kwa nini unakwepa kuzungumzia barabara hizo ambazo huwa hazina magari mengi na vile vile hazina speed limit?
 
Hiyo miaka 20 ni michache sana,nimepiga road trips nchi hii tangu 1995,ninafahamu ninachoandika.Hata hapo montana nishapita sana kuelekea washington state.Wewe ndio ulidandia treni kwa mbele kuleta habari ya unlimited speed limit kwa barabara ambazo huna reference hata moja. Ni bora wikipedia ambayo wametoa mifano ya case na juridictaion kuliko mtu mmoja ambaye hata mfano mmoja hana.Jioni njema mkuu.Kuwa mwangalifu na state troopers
Posts zako zinaonyesha wazi kuwa hujapiga road trips za kutosha marekani ndiyo maana unadhani ukishasoma Wikipedia basi umepata majibu na huwezi kuamini mtu mwingine atakayekuambia tofauti. Labda kama unaendesha maroli ya mizigo na mabasi ya abiria, ambayo ni kweli yana speed limits sehemu zote za nchi, hata kwenye county roads. Lakini kwa gari yako binafsi kwenye barabara hizo za vijijini Montana unaweza kutwanga spidi yoyote mzee; mara nyingi barabara hizo huwa ni nyeupe tu! Ndiyo maana wanakuambia uwe makini usije ukajiua. Ukishakaribia na mji wanakupa speed limit, na huko ndiko unakokuta mapolisi. Kuna sehemu umetoa mifano ya State trooper ambao hawana mamlaka kwenye barabara za County!
 
Hizo ni state codes, nakwambia tafuta county codes! Hukusoma kifungu hiki

1566431044087.png
 
Hizo ni state codes, nakwambia tafuta county codes! Hukusoma kifungu hiki

View attachment 1187152
Mkuu naona unafikiri sisi maboya.Najua huu uzi ni was cruise control lakini kama kuna pa kuwekana sawa tunawekana sawa.Link ya msela sectionb(B) Inasema on any other public highway speed limit is 70 on daytime and 65 at usiku,na hapo ni baada ya kifungu (a) kilichozungumzia interstate highway.
Pili kama wewe kweli umeendesha kwenye barabara isiyona speed limit montana we sema tu uliendesha kutoka wapikwenda wapi miminitaweka hizo information kwa google drive au hata mapquest na nitajua hiyo barabara yako (IMAGINARY) ambayo naina speed limit. Hakuna barabara hata moja ambayo ni public kwa marekani ambayo haina speed limit.
 
Hii button wengi wanaiona ila hawajui kazi yake au jinsi ya kuitumia.
Kazi yake ni kushikilia mwendo usibadilike.

Yaani ukiwa 60kph ukiibonyeza mwendo unasimamia 60kph bila wewe kukanyaga mafuta kwahio unapumzika kiaina. Ni nzuri Sana masafa marefu.

Inafanyake kazi?
Kwenye picha hapo chini kuna ON na OFF,kuna RESUME,SET. Unaweka ON unaendesha Hadi speed uitakayo halafu unabonyeza SET inakuwa active na mwendo haubadiliki.

Kukiwa na muinuko utasikia engine inaongeza nguvu ku maintain speed,kukiwa na mteremko utasikia engine inapunguza nguvu ku maintain speed as well.

Iwapo kitatokea kitu ukakanyaga brake CC inakuwa DEACTIVATED ili uendelee nayo unabonyeza RESUME na gari itajiongeza yenyewe Hadi speed uliotega awali.

Kuna alama +/- hizi unatumia kuongeza na kupunguza mwendo wakati CC iko ACTIVE. KAMA ulikuwa 60kph na unataka 70kph unabonyeza + kama unataka 50kph unabonyeza -

Tuendelee kujifunza.View attachment 1081511View attachment 1081512
Mkuu kwenye picha ni Gari gani hiyo?
 
Back
Top Bottom