Recent content by Gorbachev

  1. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Pemba na Wapemba

    Kama u muislamu wala usiwe na shaka
  2. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Yamekuwa 20 tena juzi tuliambiwa makontena 800
  3. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

    Hapa leo watu watalishwa matango pori hadi basi
  4. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

    Mimi ninachokifahamu kuhusu Makonda jijini Mwanza na uwekezaji wake hapo ndipo u ajisemea moyoni "kutesa kwa muda"
  5. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania Diamond hakumtukana Zari, Hamisa wala Wema; alimtukana msichana aliyejifanya anamjua sana

    Hivi uanamziki hasa wa Diamond mnauangalia kwa kigezo kipi? Maana kuna wanamziki tangu nabalehe wako kwenye game (hawashuki na wanazidi kupanda), sasa huyu hata miaka mitano bado lkn kiki na nguvu kubwa sana inatumika sambamba na Ali Kiba. Kimaadili Diamond yuko too low lkn kwa watu tuliolelewa...
  6. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania Hodi, habari zenu wakubwa

    Hahahaaaa mkuu kwani tuna bifu baina yetu?
  7. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kuiga: Toka mpenzi wangu adake ua lililorushwa kwenye harusi(bouquet), hapakaliki

    Ujinga tu huo, mie nishakataa hata demu wangu kuvaa suruali sasa hili la kudaka ua naona kama anakuangalia akili zako kama ziko timamu au robo
  8. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania Kocha Amunike awaondoa wachezaji wa Simba Taifa Stars kwa kuchelewa kuripoti kambini

    Ngoja wamasai waje na povu lao
  9. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu hongereni kwa maadili mema ila hili sijalielewa

    Nimekuelewa mdau
  10. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu hongereni kwa maadili mema ila hili sijalielewa

    Yes mojawapo Saud Arabia
  11. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania CHADEMA washinda unaibu meya jijini Arusha kwa kura 27 kati ya 34

    Mara {Musoma} ipi? hii aliyotoka Waitara?
  12. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania CHADEMA washinda unaibu meya jijini Arusha kwa kura 27 kati ya 34

    Hongereni Arusha ila mpunguze ulaji mirungi na jani
  13. Gorbachev

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu hongereni kwa maadili mema ila hili sijalielewa

    Nimekuelewa mkuu na nimekumbuka siku moja walikuja wageni nyumbani (mme na mke) waislamu sasa mimi nikiwa na mke wangu nikamsogelea mgeni shemeji kumpa mkono, alinipa akiwa ameficha kwenye kitambaa (ushugi) uliokuwa unaning'inia harakaharaka nilielewa ni mambo ya kiimani wala mme na yeye...
Back
Top Bottom