CHADEMA washinda unaibu meya jijini Arusha kwa kura 27 kati ya 34

Siamini kama hii ni kweli, kama ni kweli basi ni suala la muda tu tutasikia CCM wametimua madiwani wao waliomkataa Msofe kuwa Naibu Meya.

Pili, kwa matokeo haya, ni wazi wana CCM kindakindaki hawana imani na hao wahamiaji waliohamia kutoka upinzani, hii ni ishara mbaya kuwa CCM kuna vyama viwili ndani, CCM chotara na CCM kindakindaki.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha sio jiji la Chadema, ni moja ya majiji ya Nchi ya Tanzania. Au huko Ufipa mnaitambua Chadema kama Nchi?
Hili ni
IMG_20180730_062709.jpg
 
UCHAGUZI NAFASI YA NAIBU MEYA


Jumla ya wajumbe 34

1.PAUL PETER MATTHYSEN - CHADEMA #27

2.PROSPER REMMY MSOFFE - CCM #7
Mimi nikiwa CCM nampongeza huyo naibu meya wa Chadema kwa kushinda huo uchaguzi.Uchaguzi umeisha ashirikiane Na serikali kuwaletea wananchi wa Arusha maendeleo.Hongera zake
 
Mimi nikiwa CCM nampongeza huyo naibu meya wa Chadema kwa kushinda huo uchaguzi.Uchaguzi umeisha ashirikiane Na serikali kuwaletea wananchi wa Arusha maendeleo.Hongera zake
Hamkufika bei kwa huyo diwani.
 
Penye ukweli hujitenga......

Hata kwenye hizo chaguzi nyingine huwa tunaambiwa CCM wameshinda, lakini actually huwa "wanapewa' ushindi kwa "combination" ya NEC+Polisi+MaDED+Immigration=CCM
Mkishinda taabu mikelele kibao ,mkishindwa taabu mikelele kibao .Ukishinda nenda kanisani au msikitini kumshukuru mola wako.Hivi hata Mwenyezi Mungu anawaonaje nyie makafiri
 
Sisi wana CCM tunawapa hongera chadema kwa ushindi wa kishindo Na mnono mliopata dhidi ya CCM.Nakala ya pongezi hizi imfikie balozi wa marekani nchini,marafiki wa Chadema mataifa mbalimbali Na Dunia yote kwa ujumla ijue Leo chadema wameshinda unaibu meya Arusha chini ya uchaguzi wa kidemokrasia uliofanyika Arusha.Wameshinda kidemokrasia kabisa Na CCM hatikata rufaa Wala kulalamikia huo ushindi wa kishindo wa Chadema.
 
Back
Top Bottom