Recent content by goooooaaaal

  1. goooooaaaal

    Nataka kuwa mwana usalama wa Taifa

    Izo kazi zina wenyew ww kapuku kama hawawezi kutuchukua wakikutaka wana anza kukufuatilia A-Z sas we subili kila siku maeneo ya posta watakuja kukuchukua sawa... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. goooooaaaal

    Kikosi JWTZ kuwa na askari Takribani 200 tu Mpakani ni masihara

    Mkuu tutakimbiana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. goooooaaaal

    Tulioapply diploma tukutane hapa

    Ndug mm nimeomb uxhauri... Hayo maxwal mengine yanakuja vip ni bora ungepita tu.....kam ww huwa unapatia kila kitu ni ww sio mm Sent using Jamii Forums mobile app
  4. goooooaaaal

    Tulioapply diploma tukutane hapa

    Habari zenu nilikuwa naomb uxhauri kuwa nimesoma certificate ya IT pale DIT Nina GPA ya 3.4 xax nilikuwa diploma natak nikasomee computer science alafu kingine kuwa mm o'level nilisoma arts..lakin katik matokeo yang xikupat F ila nilikuwa D pamoja na C moja ya kiswahili xax nilikuwa nauliza...
  5. goooooaaaal

    Nijuzeni tofauti kati ya IT(information technology) na computer science

    Ameangia chuo cha ucc amesema hakina kozi ya computer science pale ipo IT na pia DIT pale wanataka D physics na math D kwa o'level ndio utasoma pale....mkuu je hakuna chuo kingine kweli... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. goooooaaaal

    Nijuzeni tofauti kati ya IT(information technology) na computer science

    Axante xana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. goooooaaaal

    Nijuzeni tofauti kati ya IT(information technology) na computer science

    Wakubwa mdogo Wang amesoma certificate ya IT sas diploma anatak aende kusoma computer science je,inawezeka na kam inawezekan ni chuo gan kizur kinachotoa iyo kozi.... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. goooooaaaal

    Taja wimbo unaohisi kama ulitungiwa wewe vile

    Mama jamila mwanao mchokozi nikimkamata nitamtia makwenzii[emoji12] [emoji12] [emoji12] bange za jamaika Sent using Jamii Forums mobile app
  9. goooooaaaal

    Hii sasa ndio bikini body,Mange Kimambi anamwonekano bomba!!!

    Wa dar tunasema kibaya cha jitembeza. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. goooooaaaal

    Tetesi: Kuhusu alama za ufaulu kidato cha sita

    [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] .....kam ni kweli izo alama tutaanza kuxoma huku tunatembea........
  11. goooooaaaal

    Msaada:HGE anaweza kusomea vitu gani chuoni na kazi zipi anaweza akazifanya?

    Wakuu naomb kuuliza kuwa Nina mdog wangu kamaliza certificate ya IT mwaka huu...je, anaweza badilisha kwenda kusoma diploma ya Computer science au computer engineering...
  12. goooooaaaal

    Tetesi: Kuhusu alama za ufaulu kidato cha sita

    Kwa grade izo hawezi kuachwa mtyu salamaaaa
  13. goooooaaaal

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Tatizo wa2 wengine uelewa ni mdogo nyota zimeanza kutumiwa tokea enzi za mitume ukiangalia katika dini zote mbili nyota wametumia kwa upande wa wakristo nyota ilitumiwa wakati wa yesu anazaliwa na hiyo ndio ilikuwa ishara ya zamani ya kuzaliwa kwa mitume huwaga nyota hutokea na hata hivyo pia...
Back
Top Bottom