Tetesi: Kuhusu alama za ufaulu kidato cha sita

Weka namba ya mthihan WA kidacho cha 6 nitizame matokeo yako cos ninawasiwasi na ufaulu wako

Sijasoma Tanzania Kwa hiyo sina namba hapo NECTA.

Lakini, kwa hiyo grading system ni ya kawaida sana.

Watu waliosoma nje ya nchi wanajua na kuelewa kabisa kuwa hizo cut off points na matokeo ni ya kawaida sana kwa mtu anayesoma na anajitambua anachohitaji shuleni.

Tatizo watoto hamsomi mnataka matokeo makubwa.

Ni kama nilisikia mpango mmoja hapo Tanzania, eti unaitwa BRN bila maandalizi.

Soma kwa bidii na Kwa mipango utafaulu vizuri.

Mbona, hapo Egypt - Africa hiyo ndiyo grading system yao na bado watoto Wanasoma na matokeo yao ni mzuri kabisa kwa kufaulu vizuri iweje ninyi mlielie!!.

Wanafunzi wengi hapo Tanzania ni Pathetic kabisa.
 
stupid people ka ww they exists only in TZ kwahyo unahisi sababu ya kufeli ni mapenzi kuna watu wanasoma ktk facilities mbovu I repeat STUPID

Asante sana kwa kunitusi.

Btw, sipo Tanzania na sijasoma Tanzania.

Ila hiyo grade system, ni ya kawaida sana kwa mtu anayesoma na anajitambua.

Mfano, Egypt tu hapo Africa ya kasikazini wanazitumia na wanafunzi wengi wanafaulu iweje ninyi hapo Tanzania mshindwe!?

Naona na wazazi nao mnakumbwa na hizi porojo za kitoto eti oooh Oooooh alama kubwa.

Mtoto Soma na mzazi himiza mwanao asome. Acheni unaaaa na upoyoyo.
 
Kama aliishia form 4 tena kwa alama ya bashite je


Haaa haaa Haaa teeeh teeeh.
Nina vyeti halali na matokeo ya kuthaminika.

Ila hiyo, grade system ni ya kawaida sana. Ila tatizo lenu kubwa ni kwamba mnataka matokeo makubwa bila kusoma tena huku mtaani mnachezea mikunyange na mapapunchi kisha mnategemea kufaulu vizuri.

Kwa hiyo, someni kwa bidii, hizo alama ni za kawaida sana.
 
Haaa haaa Haaa teeeh teeeh.
Nina vyeti halali na matokeo ya kuthaminika.

Ila hiyo, grade system ni ya kawaida sana. Ila tatizo lenu kubwa ni kwamba mnataka matokeo makubwa bila kusoma tena huku mtaani mnachezea mikunyange na mapapunchi kisha mnategemea kufaulu vizuri.

Kwa hiyo, someni kwa bidii, hizo alama ni za kawaida sana.
Kwa maelezo haya ndugu huna cheti.
Huwez sema wanafunzi wote wana mawazo ya kingono kama wewe
 
Kwa maelezo haya ndugu huna cheti.
Huwez sema wanafunzi wote wana mawazo ya kingono kama wewe

Haaaa haaaa haaaa haaaa, nitumie namba au E-Mail yako nikutumie mzigo wote uone. Ama Nipe contacts zako ili wakati nikiwa holiday hapo Tanzania, nikutafute popote pale utakapokuwa ili uone kuwa hizo grade nimezitumia na kufaulu kama kawaida.

Ndiyo utaelewa ninachokiandika hapa JF kuwa siyo mzaha.
Ila hizo grade ni za kawaida sana kwa nchi za wenzetu tena wanaziona za kawaida sana.

Mfano, private schools hapo Tanzania, zamani wastani wa form 2 ilikuwa 45% wanafunzi wote wanafaulu ila kwa public schools wastani ni 21% bado wanafunzi wanafaili japo ni wote wapo nchi moja.

Tena bado, kwenye public schools unakuta vipanga wanatoboa kwa wastani wa 85+%.

Watoto wengi ni kutokuwa makini na shule.

Kwa hiyo, someni kwa bidii hizo alama ni za kawaida sana.
 
Nimesikia eti alama za ufaulu ni kama zifuatazo by Ndalichako Bungeni.

A: 85-100
B: 75-84
C: 70-74
D: 61-69
E: 51-60
S: 35-50
F: 0-34

Tusubiri kama ni kweli. Kuna kutu kimejificha , kitajulikana with time.
Nasikia eti na muda wa kufanya mtihani umebadilika.


Kwa waingereza
Grading

A level examinations are graded on a scale of A* to E. Students that take the full A level in addition to the AS are awarded one grade for each subject, with the AS results being subsumed into the A level point score if not ‘cashed in’ as a terminal credential after the first year of study. For universities using the centralized Universities and Colleges Admissions Services (UCAS) process for admission, grades are also attributed Tariff Points (see below for an explanation of Tariff Points) as follows for each A level grade:

WENR_0214_feature-2.gif
Kumaamake walai...hzo grades hazitakaa zitokee
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom