Recent content by GOOOD

  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Wakuu! Naomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata AMMONIA SOLUTION 35% Industrial 250Litres. Na bei gani?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Hawana coverage huko watangaze nn zaidi ya taarabu? Eti TV ya taifa!!!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tamko la serikali kwa wafanyakazi secta binafsi

    Hhhhhhm! Something is better than nothing!! Tupambane wakati ukifika watatuelewa!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kukodolea macho wanawake..

    mtaalam! imetulia hiyo! usipogeuka basi katafute ushauri wa daktari au kodoa macho kwenye mabango ya barbarani ili ujue ni bingwa yupi anaongeza nguvu kwa haraka zaidi
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kukodolea macho wanawake..

    lakini wao si ndio wanapenda kukodolewa mimacho? je unajua wanaspend dakika ngapi kwenye kioo kabla hawajatoka nje? wanaspend muda gani kwenye wardrob kuchagua: miniskirts,tightjeans with bikini, adjustable bra e.t.c
  6. G

    JamiiForums Tanzania Utaalam kwenye mapenzi..................!!!!! !!!!!!!!!!!!

    uko sahihi ilaaah!! tambua kuwa swala la mapenzi huwa halijaribiwi kama wengi wetu tunavyofanya; au halina mlinganisho kati ya couple na couple! Hiyo inakuwa deep in your hearts
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ndoa

    mbona hasira?? kama unaye ungeelewa maana ya swali! na pia itegemee na muda mliokaa nae pamoja!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ndoa

    Hiviiii! JF Ndoa imekuwaje Ndoo ya kuchota UPENDO na kuupeleka nje. Hivi ndoa imekuwaje NDOANO ya kuteka maovu nje na kuleta ndani :mmph:
  9. G

    JamiiForums Tanzania Bangi ihalalishwe

    Hivi mkuu wewe ni ndugu na yule mbunge aliyehalisha BANGI jana na akashauri kuwa OF ALL OF THINGS IN TZ tuexport bangi? Acheni mawazo yenu ya KIBANGIBANGI.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Warts

    Genital Warts iliyo around mboo hutibiwa na nini?:A S angel:
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni HIV Positive

    Mkuu mengi yamesemwa lakini kumbuka ule UPENDO wa awali! We huna uhakika kama hujaambukizwa! na yeye hakujua hata ni lini na nani aliyempa. nenda kwa washauri nasaha/wataalam upate jinsi ya kuishi na VVU! Ila kumwacha ucfikirie! nafahamu watu walikuwa na case kama yako na wana miaka 8 sasa ktk...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Front Page ya Gazeti la Uwazi

    Hata kama ni Biashara c kiivyo! kwani hana wahariri?
  13. G

    JamiiForums Tanzania INTRO to JF

    Hello there JF members! I'm happy to join
Back
Top Bottom