Front Page ya Gazeti la Uwazi

Front Page ya Gazeti la Uwazi

Shigongo anauza unga ni dealer wa siku nyingi aache kuzuga kutafuta watu ubaya kama anabisha aape mbele za Mungu afe kama kweli hauzi unga
 
Kiongozi wa hao wenzetu hawezi kuuza unga ila kwa viongozi kama hawa mbona kawaida?

Kwani 'hao wenzetu' huwa wana viongozi? Wao si wapo tu vimobu mobu kwa ajili ya maandamano na kila kimobu hakikitambui kimobu kingine unless wanakusudia kufanya fujo sehemu.
 
Inaniuma sana kukuta gazeti kama Mwanahalisi halipo mtaani halafu UPUUZI kama huu unadunda tuu...We have a serious problem as a 21st century community.
 
Nyie mnaochangia hapa, mmesoma hiyo habari kwa undani? Mnakurupuka tu!!! Acheni hizo!!
 
Nafikiri tusimlaumu Shigongo, amefanya kazi yake kama mwandishi, kilichobaki tunamwachia Kamanda Nzowa.
 
Source: Uwazi

SKENDO kwamba Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kadinali Pengo, anafanya biashara ya madawa ya kulevya, ilitikisa kisha ikapoa, ila sasa Uwazi lipo kwenye nafasi nzuri ya kupasua jipu.
Januari mwaka jana, Pengo ndiye alikuwa wa kwanza kutamka hadharani kuwa anaambiwa anauza ‘unga', kipindi hichohicho, Uwazi lilizungumza na Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya, Godfrey Nzowa ambaye alisema wanafanya kazi kisayansi.
"Kama jina la Pengo tunalo kwamba anauza madawa ya kulevya au hatuna, siwezi kutamka kwa sasa, hatutaki kupindisha ushahidi au kuvuruga upelelezi wetu," alisema Nzowa.
Hata hivyo, hivi karibuni, Uwazi lilifanikiwa kuzungumza na mmoja wa vigogo wa jeshi la polisi nchini, aliyeomba hifadhi ya jina lake gazetini, akasema kuwa suala la Pengo lina utata ila siyo zito.
"Labda mimi nipasue jipu kwamba jina la Pengo halionekani katika orodha ya viongozi wa dini wanaochunguzwa kutokana na kashfa ya madawa ya kulevya," alisema kigogo huyo.
Aliongeza: "Hata kwenye ule mkanda uliokwenda bungeni, ukionesha wafanyabiashara wa madawa ya kulevya, Pengo haonekani. Tulishangaa sana aliposema anaambiwa anauza madawa ya kulevya."...
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wa2 wamagazet ifike mahali mcjiachie sana ksa pesa huo n uchonganish kwa jamii na imani.
 
Sasa mbona wanaweka heading za kichochezi namna hii? "Njaa" nyingine ni hatari sana
 
Huyu shigongo ni shetani..cha ajabu magazeti yake yana motto wa IN GOD WE TRUST..lkn gazeti zake zimejaa uchafu mtupu..huko ni kumdhalilisha Mungu..bora angeweka motto IN UDAKU WE Trust..maana habari zake huwa hazinaga uhakika..anyways hao ndo waandishi wa habari form four failure. .mtu na akili timamu hafanyi ujinga huo
 
Shigongo anauza unga ni dealer wa siku nyingi aache kuzuga kutafuta watu ubaya kama anabisha aape mbele za Mungu afe kama kweli hauzi unga

unga gani wa mahindi,ulez,ngano.uwele,muhogo au ...........................
 
hizi huwa ni takataka, zisiwaumize vichwa, mambo ya Mungu tumwachie mwenyewe, tukiweza tumalizane sisi wenyewe, lakini swala lolote linaomgusa Mungu si la kutilia mzaha..
 
Mpwa uko kama mimi, siwezi kutoa pesa yangu leave alone kusoma hata hizo heading zao, sijui namuonaje Shigongo

...hivi shigongo huwa anaalikwa kwenye dhifa zozote zenye hadhi ya waheshimiwa ? sipati picha huwa anaongea nini ??
 
Kama ni kweli kauza unga then achukuliwe hatus, ila kam si kweli basi mwisho wa shigongo umefika
 
Na Mwandishi Wetu
Upumbavu ni Kipaji...!
wenzetu waliona hilo na wakaweka (just imagine) siku moja kwa mwaka mzima nayo ikishazidi saa nne hairuhusiwi, kwa ajili ya kufanya mizaha. Namaanisha April 1st.
Hapa kwetu unashangaa watu wamegeuza mwakwa mzima kuendeshwa kipumbavu na wala hawaoni shida kwa vile wanaweza kupata pesa kwa kuuza hayo magazeti. Nakubaliana nawe hapo!
 
Back
Top Bottom