Hii nchi kaka sasa hivi inatisha inasemekana mpaka sasa hivi lowasa wanatrack mawasiliano yake na amegewa limit ya kutembea sasa kama ni kweli hii hali inatisha
Umeongea point sana why unasema ahache mapambano yake?
Ninachoona hapo yeye anahamini anaweza timiza ndoto zake za kuongoza taifa ili muache apambane tuone mwisho wake ni wapi.
Usiseme hivyo coz haujui mungu anakupitisha katika majariby mangapi unaweza kushangaa akamuacha huyo akampata mwingine akawa balaa zaidi ya huyo
Soma vizuri alichokiandika kuwa kila kitu yupo vizurj tatizo tu anamaamuzi yake mwenyewe bila kumshirikisha mumewe
So hiyk ni challenge imempata...
Hapo nimekuelewa kabisa ndio maana ile sentense kuwa watu wa kanda ya pwani ni kukaa tu vibarazani na kucheza bao ni sawa na kuongea porojo ndio nimepata hitimisho leo pia wanaongoza kwa kupiga kelele ila wavivu balaaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.