Recent content by goodwillmaths

  1. G

    JamiiForums Tanzania What is "QMS" and its exolanation?

    Quantitative Methods. Ndio kirefu chake inahusika na statistics kwa maana ya 1) measure of central tendency kama a)mean b)median c)mode d)Quartiles 2)measure of dispersion kama a)variance b)standard deviation c) mean deviation 3) Distribution functions mbalimbali kama...
  2. G

    JamiiForums Tanzania "Nipe Nigeria na Ghana ndani ya mwaka zitakuwa nchi za Dunia ya Kwanza".

    Kwa vile haina resources za kutosha
  3. G

    JamiiForums Tanzania Je drafti ni kipimo sahihi cha IQ?

    Newton kasoma Cambridge University, Trinity college. Moja ya maprofesa wake akiitwa Isaac Barrow. Wajina
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni gani hii insyotumia pound?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nahitaji laptop used dell. Bajeti dola 100. Nakulipa kwa PayPal. Niko Dar. Inawezekana?
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni gani inatumia PayPal kudeposit?
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dakika ambayo goli limefungwa, Azam TV jirekebisheni kwenye hili

    Wanatakiwa wajirekebishe. Mdogo mdogo watakuwa bora
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dakika ambayo goli limefungwa, Azam TV jirekebisheni kwenye hili

    Mfano,TV ya Azam inaonesha penalty ya Mbao imepigwa 26:18. Hiyo inahesabika ni dakika ya 27 (27') Namba unayoiona unaongeza 1 Nyinyi mmeandika 26'. Pia nimeona kwenye magoli mengi tu muda wa goli mnaandika mnaouona. Mf 34:36 nyie mnaandika 34 badala ya 35. Angalieni hata wenzenu wa Ulaya...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mkadirie umri member yeyote humu

    Kwamba umri wangu ni A yenye afya?
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mkadirie umri member yeyote humu

    1)barafu (mzee wa bombadia) nilidhani ni 50-60 ila nahisi ni 30-40 2)Mshana(Dr Leakey wa Uchawi) 40-50 3)Mzigua 20-30 4)Sky eclat ( anayejifanyisha wa mtogole) 40-50 Weka list yako
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eden Hazard; matumizi mabaya ya rasilimali

    Mwandishi ni nani? Kama Edo Kumwembe
  12. G

    JamiiForums Tanzania Is Mpemba effect oppose the Newton law of cooling?

    Dunia ndivyo ilivyo. Sio Tz pekëe. Hata most viewed video za YouTube sio za kimasomo.
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Suprise ya mume wangu

    Simu aliiba au ilikuwa zawadi y'a show kali ?
Back
Top Bottom