YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,033
Newton kasoma Cambridge University, Trinity college. Moja ya maprofesa wake akiitwa Isaac Barrow. Wajinasorry naomba nijue kwani kuwa qenious ni lazima uwe vizuri darasani,hao wakina newton walisoma shule kweli?
chase ndo kipimo cha IQ ndo maana wafalme karibia wote wa zamani walikuwa wanafunzwa kucheza huo mchezoHey guys is it true that the draught is the best criteria for measuring the intellectual quotient of a person?
And if that is the case ,then why most of the experts of draught are old people and we all know that old people have low thinking capacity due to age factor?
IQ haipimwi kwa mitihani ya darasani..!
Kwako Iq ni nini?Ni mchezo wa kufikirisha tu akili na kumdhibiti mpinzani wako tu sidhani kama una uhusiano na IQ ya mtu
mtu mwenye IQ kubwa si lazima awe mkali darasani ni uwezo wa kufikirisha akili na kutatua mamboSidhani ,maana kuna MTU namjua drafti ukigusa kete ya kwanza tu ,anakuambia rudia nitakufunga,na anakuonesha hadi kete yako ya NNE ya mchezo lkn ,darasani empty
Huyo jamaa,wanamjua ,msasani,kawe,mikocheni, kariakoo ,fundi kweli kweli wa draft
FactIQ haipimwi kwa mitihani ya darasani..!
Iq inapimwa na uwezo wa mtu kutatua/kuleta solution za matatizo/changamoto/problems za jambo.
Well said!!!!mtu mwenye IQ kubwa si lazima awe mkali darasani ni uwezo wa kufikirisha akili na kutatua mambo
cc Benjamin Netanyau
True.mtu mwenye IQ kubwa si lazima awe mkali darasani ni uwezo wa kufikirisha akili na kutatua mambo
cc Benjamin Netanyau
Kuna vitu munashindwa kutofautisha kati ya IQ na Elimu.
True.
kwa maana yao, watu waliofaulu darasani wana iq kubwa hii ni kweli??Well said!!!!
hata private investors(team betting) pia wanaa IQ kubwa??Kubeti Mpira was miguu ndio kipimo halisi cha IQ. Yaani kubashiri matokeo na matukio yajayo muda mfupi ujao kwa usahihi kutokana na mwenendo wa matokeo na matukio ya awali.
Sio kwel tatzo watu hawajui maana halis ya IQ Coz naona weng wanaongelea IQ kwa upande wa Darasan ktu ambacho not tru!!!!kwa maana yao, watu waliofaulu darasani wana iq kubwa hii ni kweli??
Akili za darasani sio kipimo cha kuwa na iq.Sidhani ,maana kuna MTU namjua drafti ukigusa kete ya kwanza tu ,anakuambia rudia nitakufunga,na anakuonesha hadi kete yako ya NNE ya mchezo lkn ,darasani empty
Huyo jamaa,wanamjua ,msasani,kawe,mikocheni, kariakoo ,fundi kweli kweli wa draft
Hapana mķuu!..Bado unacheza?
Sahihi kabisa.IQ haipimwi kwa mitihani ya darasani..!
Iq inapimwa na uwezo wa mtu kutatua/kuleta solution za matatizo/changamoto/problems za jambo.