Recent content by Goodhope12

  1. G

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania kiukweli, vimeacha kutetea haki na maslahi ya watu wanyonge

    Vyama vya upinzani Tanzania kiukweli vimelala sana , vimeacha kutetea haki na maslahi ya watu wanyonge kama vile: .Ajira kwa vijana .Ongezeko la mishahara kwa watumishi wa umma. .Mikopo ya wanafunzi vyuo vikuu Wao wapo tu wanatu hadaa wananchi , kwa hali hii ya wapinzani wa Tanzania walivyo bora...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano toeni ajira mpya za walimu

    Jamani hivi inawezekanaje serikali inawaambia watu watume maombi ya kazi halafu hawatoi? vijana tulituma application Dodoma mwezi wa 8 lakini hadi saizi mwezi wa 12 hamna kitu, tunaiomba serikali kupitia kwa wizara husika itoe ajir za walimu walio omba mwezi wa 8.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri walimu 1600 wa Sayansi ifikapo Disemba mwaka huu

    LAKINI MBONA MPAKA SASA WALIO TUMA MAOMBI NI WA PHYSICS, BIASHARA , HESABU, AGRICULTURE NA PRIMARY. SASA HAPO INAKUWAJE?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri walimu 1600 wa Sayansi ifikapo Disemba mwaka huu

    CCM huku mitaani hali mbaya vijana wengi wa kada ya elimu ambao hapo mwanzo ajira zao zilikuwa za moja kwa moja toka serikalin , sasa hawataki hata kuisikia CCM kwani serikali yake imewanyima ajira vijana hao. Tukumbuke kuwa vijana hao ni wengi pia wamekuwa tegemezi kwa familia zao hivyo...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Lini MOE watatoa ajira za walimu walizo tangaza mwezi wa 8?

    MHESMIWA WAZIRI VIJANA TUNAKUOMBA TOA AJIRA ZA WALIMU WAPYA TULIZO TUMA MAOMBI MWEZI WA 8. Tunakuomba sana kama tumekukosea tunaomba tusamehe basi.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Lini MOE watatoa ajira za walimu walizo tangaza mwezi wa 8?

    POA JAPO INAUMA SANA.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge fanyeni haya kuondoa tatizo la ajira

    UNAJIFANYA UNAJUA WAKATI HUJUI KITU.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge fanyeni haya kuondoa tatizo la ajira

    POA hongera kwa mchango wako.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge fanyeni haya kuondoa tatizo la ajira

    Acha lugha chafu kijana kama nime kosea si ungenirekebisha tu alafu acha kujifanya mjuaji wakati hujui kitu.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wabunge fanyeni haya kuondoa tatizo la ajira

    Vijana tunawaombeni viongozi wote wa vyama vya upinzani mlioko bungeni na nje ya bunge tunaomba mtuombee ajira za walimu toka serikalini kwani miaka yote ajira zetu zilikuwa ni za moja kwa moja toka serikalini , nyie ndio watu pekee mnaoweza kutupazia sauti sisi wanyoge tulioko uraiani...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Lini MOE watatoa ajira za walimu walizo tangaza mwezi wa 8?

    Habari za saizi......... Napenda kuuliza lini tutegemee ajira za ualimu zile zilizotangazwa mwezi wa (8) za walimu wa Biashara(Economics), math , physics na agriculture.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Lini MOE watatoa ajira za walimu walizo tangaza mwezi wa 8?

    AJIRA ZA WALIMU WA Biashara(economics),math, physics na Agriculture walizo utangazia uma lini watazitoa? walimu tarajali tunaomba wazitoe mapema ili tujue jamani. Tuna iomba wizara ya elimu isikie kilio chetu jaman kwani wengine huku kitaa mambo hayaendi kabisa na tayari tulituma application kwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Lini MOE watatoa ajira za walimu walizo tangaza mwezi wa 8?

    Jamani habari za muda huu? Naiomba Wizara ya Elimu watuambie basi lini watatoa ajira za walimu walizotangaza nafasi zake mwezi wa 8. Vijana tunazisubiri sana tunaomba wizara husika itufikirie. BORA WATOE MAJINA ELIGIBLE ILI WENGINE TUJUE NINI CHA KUFANYA. Kwani hata kama nafasi zilikuwa...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Naombi msaada wenu jamani wa kufundisha economics ,geography

    Ahsante sana kwa maneno yenye faraja na nia nzuri.
Back
Top Bottom