Recent content by good96

 1. good96

  Msaada muungurumo wa hii fridge ndogo shida ni nini?

  Wakuu habari naomba niweze kufahamishwa huu muungurumo unasababiswa na tatizo gani. Ni ki fridge kidogo cha Mr UK na huwa linawaka na kuzima automatic lakini siku za karibuni lilipata shida ya kutokupooza nikapeleka kwa fundi akaniambia ni gesi imeisha akajaza gesi na tangu hapo ukiliwasha...
 2. good96

  FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

  All I wanted ni kumuona Ansumane Fati anarejea
 3. good96

  Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

  Asee kitu viazi vimetufanya huu mwaka [emoji2357]
 4. good96

  Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

  Wakuu wakulima wa viazi mviringo hali ni ngumu kweli asee
 5. good96

  Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

  Wakuu kwema usajili wetu vipi
 6. good96

  FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

  Tuwape na nyongeza
 7. good96

  Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

  Ila mna hali mbaya nyie vyura
 8. good96

  Yanga mchunguzeni Senzo huenda ni pandikizi la Simba

  Yangaaaa[emoji23][emoji23]
 9. good96

  Achana na Senzo, Barbara huyu dada ana connection balaa

  Hivi senzo ana kazi gani pale jangwani, mwenye kujua anijuze
 10. good96

  Kuna amri 10 za Mungu, lakini kuna amri 5 za Mbuyu "Junior" Twite.

  Asee mbona mlipitisha mabakuli[emoji1787][emoji1787]
 11. good96

  Tujikumbushe kejeli za Yanga dhidi ya simba ilipoanza CCL

  Yanga ni mjumuiko wa watu wasiojielewa
Top Bottom