Barcelona ya Xavi tuanze kuiamini?

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Naona ile Barce ya kuanzia 2009 kama inarudi.

Ile Barca ya moto iliyomfanya Fergie atetema.

Naona leo Madrid anateseka mno.

Utawala wao unaanza kurejea.
 
Sina tatizo nayo XaVi naye Dhambi ndio hana..... kaibadili ndani ya Siku 100 , wakati mwingine wajiuliza huyu auba ndiye yule yule aliyekuwa Asenane ,. Kule kuna Pedri pale kuna mtoto mweupe mdachi mtakatifu De jong .
Xavi dhambi anazitoa wapi??

Kuiamini Barca ya sasa hivi ni Faradhi kama sio sunna😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom