Msaada muungurumo wa hii fridge ndogo shida ni nini?

good96

JF-Expert Member
Nov 20, 2015
511
1,000
Wakuu habari naomba niweze kufahamishwa huu muungurumo unasababiswa na tatizo gani. Ni ki fridge kidogo cha Mr UK na huwa linawaka na kuzima automatic lakini siku za karibuni lilipata shida ya kutokupooza nikapeleka kwa fundi akaniambia ni gesi imeisha akajaza gesi na tangu hapo ukiliwasha linawaka vizuri shida inakuja muda wa kujizima automatic linapiga kelele kama mashine inagonga kitu na halikati mpaka uchomoe waya kwenye umeme. Tafadhali mwenye ujuzi naomba anifahamishe. Naambatanisha ya video fupi.

Asanteni sana.
 
Attachments

  • File size
    11.4 MB
    Views
    0

masafi

JF-Expert Member
Aug 4, 2015
558
500
Wakuu habari naomba niweze kufahamishwa huu muungurumo unasababiswa na tatizo gani. Ni ki fridge kidogo cha Mr UK na huwa linawaka na kuzima automatic lakini siku za karibuni lilipata shida ya kutokupooza nikapeleka kwa fundi akaniambia ni gesi imeisha akajaza gesi na tangu hapo ukiliwasha linawaka vizuri shida inakuja muda wa kujizima automatic linapiga kelele kama mashine inagonga kitu na halikati mpaka uchomoe waya kwenye umeme. Tafadhali mwenye ujuzi naomba anifahamishe. Naambatanisha ya video fupi. Asanteni sana. View attachment 1975685
Tafuta lingine tu sio kwa mlio huo. Mimi langu bruhm gafla haligandishi sasa nataka nikanunue brand kubwa tu
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
3,255
2,000
Tafuta lingine tu sio kwa mlio huo. Mimi langu bruhm gafla haligandishi sasa nataka nikanunue brand kubwa tu
Mie nimenunua mwez wa nane boss ndogo ,wife akaona fursa ni kuuza ice cream ,sasa ukilaza mia unakuta zimeganda pengine 40 tu , nimeamua kununua bidhaa bora samsung freezer japo bei ni kubwa ila mkatab na nimekula waranty ya miaka 10 ,akati boss nilipata miaka miwili tu warant , nimeuza bei ya hasara nikanywa bia tu akuna ufanisi alaf nafasi ni ndogo sana ,havina raha kifupi
 
Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
1,728
2,000
Mie nimenunua mwez wa nane boss ndogo ,wife akaona fursa ni kuuza ice cream ,sasa ukilaza mia unakuta zimeganda pengine 40 tu , nimeamua kununua bidhaa bora samsung freezer japo bei ni kubwa ila mkatab na nimekula waranty ya miaka 10 ,akati boss nilipata miaka miwili tu warant , nimeuza bei ya hasara nikanywa bia tu akuna ufanisi alaf nafasi ni ndogo sana ,havina raha kifupi
Hivi kuna warant bongo, maana gharama ya kuriludisha ughaibuni nafu nunua lingine
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom