Kwa wale waislam kwanza mtaniwia radhi pls, kuna kpnd nilifika arusha jamaa yangu mmoja ambae kwa sasa nilipoteza mawasiliano yake, jamaa alinipeleka ktk hotel moja nikapiga kit moto rost yenye mbogamboga ndani na ndizi rost, aisee never ever seen b4 ile kiti moto ilikuwa bab kubwa, jamani wale...