Jk aibuuuuuuu.

Good boy

Member
May 20, 2011
42
2
Kwa kweli me hawa ccm hata cwaelewi cause kila wanapofanya mikutano yao lazima waombee watu kuja kuhudhuria mikutano yao, juzi kati hapa alikuja mwenyekiti wa maghambani kwenye uzinduzi wa barabara itnkayo geita hadi mwanza kupitia kivuko cha busisi, aisee watu wa mwanza mjini hawakutokea jamaa walivyoona hali mbaya wakatuma mabasi sengerema na geita kuwapeleka watu kwenye mkutano, kwa macho yangu niliona watu wanapewa kofia na tsht za ccm na buku mbili ili kuwashawishi.
 
Sijaona Aibu ya Mh. Rais katika allegations ulizoweka aibu ni kuwapelekea wafuasi wa CCM waliombali mabasi .. ama tatizo kuwapa kofia na T-shirts ili wavae sare ...!? ama aibu ni kuwapa buku mbili wafuasi wa CCM ..?
 
hilo la ccm kugawa sh.2000 linahucanaje na aibu ya kikwete?au kwasababu ni mwenyekiti wa ccm?i think ingekuwa better kama the heading ungeichange ili ilete maana rahic kwa wasomaji
 
tuijenge cdm yetu hayo hayana faida kwetu,ushindan wetu uwe kukijenga chama sehemu ambazo hatuna wabunge hasa zanzibar,jana mliman tv kuna jamaa walipiga simu toka zanzibari walisema wanashindwa kudai haki sababu hawana elimu.pia walisema pamoja na kuzomewa wasichoke kuwatetea wananchi kwan kwa elimu wanayoipata kupitia maandamano ya chadema inawasaidia sana,lisu na kafulia walikubaliana na hilo pia pana umuhimu wa kufanya mikutano zanzibari.USHIND TUTAUPATA TUONGEZE JUHUD,MAARIFA NA KUJITOA ZAID,VIJANA TAIFA LA LEO.VIVA CHADEMA MAPAMBANO BADO YANAENDELEA.
 
Kwa kweli me hawa ccm hata cwaelewi cause kila wanapofanya mikutano yao lazima waombee watu kuja kuhudhuria mikutano yao, juzi kati hapa alikuja mwenyekiti wa maghambani kwenye uzinduzi wa barabara itnkayo geita hadi mwanza kupitia kivuko cha busisi, aisee watu wa mwanza mjini hawakutokea jamaa walivyoona hali mbaya wakatuma mabasi sengerema na geita kuwapeleka watu kwenye mkutano, kwa macho yangu niliona watu wanapewa kofia na tsht za ccm na buku mbili ili kuwashawishi.

Hiyo ndiyo sera yao toka zamani labda wewe ulikuwa mdogo!,zamani ilikuwa ni lazima kwenda kwenye mkutano na kama ulikuwa na biashara zako ni lazima zifungwe kupisha mkutano,tofauti na hapo ulikuwa unapata msukosuko wa nguvu,kwa ufupi kulikuwa na aina fulani ya udikteta.
kutokana na hali kubadilika kwa sasa wanatumia rushwa ya vitu vidogo vidogo,mfano T.shirt,kofia na pesa!
 
hilo la ccm kugawa sh.2000 linahucanaje na aibu ya kikwete?au kwasababu ni mwenyekiti wa ccm?i think ingekuwa better kama the heading ungeichange ili ilete maana rahic kwa wasomaji
Hapo unabisha nini?aibu kwa yote,hivi huyo bwana wenu hajafa kwenye ajali ya jana?
 
Sijaona Aibu ya Mh. Rais katika allegations ulizoweka aibu ni kuwapelekea wafuasi wa CCM waliombali mabasi .. ama tatizo kuwapa kofia na T-shirts ili wavae sare ...!? ama aibu ni kuwapa buku mbili wafuasi wa CCM ..?

Ni kwavile hujanywa chai, ukishapata breakfast utaiona tu aibu iko wapi!
 
hilo la ccm kugawa sh.2000 linahucanaje na aibu ya kikwete?au kwasababu ni mwenyekiti wa ccm?i think ingekuwa better kama the heading ungeichange ili ilete maana rahic kwa wasomaji

ni aibu raisi anazindua barabara halafu hakuna watu na anatoa hela kuwabeba watu ambao hawana mzuka naye
 
Sijaona Aibu ya Mh. Rais katika allegations ulizoweka aibu ni kuwapelekea wafuasi wa CCM waliombali mabasi .. ama tatizo kuwapa kofia na T-shirts ili wavae sare ...!? ama aibu ni kuwapa buku mbili wafuasi wa CCM ..?

Kama hujaona hiyo ndio furaha ya wanamageuzi, mnamacho lakini hamuoni, masikio lakini hamsikii na akili lakini hamzitumii, siku upofu utakapoondoka ujue kumekucha na umechelewa maana lazima upofu uondoke
 
Back
Top Bottom