Ulinzi wa ajabu Central Police kwa ajili ya Mbowe; asafirishwa kwa ndege ya JWTZ kwenda Arusha!

Ndugu yangu kuwa kiongozi wa upinzani kuna maana ya kukaidi amri ya mahakama? Fikira yako kuwa kuweko kwa taifa kutategemea viongozi wa siasa peke yake bila ya sheria? unafikiri Mtikila, Lipumba, Mbatia, Mrema na wote wakubwa wa upinzani wafanye wanavyotaka kuvunja sheria hilo litakuwa Taifa la namna gani? After all ni wewe tu unayelalama lakini huu ni mkakati maalum wa CHADEMA kununua umaarufu hivyo hao viongozi wanajaribu sana kutiwa ndani na kwa vile hawapelekwi Ukonga au Segerea wana wasiwasi wa nini?

bwabwa
 
Ndugu yangu kuwa kiongozi wa upinzani kuna maana ya kukaidi amri ya mahakama? Fikira yako kuwa kuweko kwa taifa kutategemea viongozi wa siasa peke yake bila ya sheria? unafikiri Mtikila, Lipumba, Mbatia, Mrema na wote wakubwa wa upinzani wafanye wanavyotaka kuvunja sheria hilo litakuwa Taifa la namna gani? After all ni wewe tu unayelalama lakini huu ni mkakati maalum wa CHADEMA kununua umaarufu hivyo hao viongozi wanajaribu sana kutiwa ndani na kwa vile hawapelekwi Ukonga au Segerea wana wasiwasi wa nini?

Kakojoe ulale......ina maana na akili zako mtu kama mbowe anaweza kufanya mambo kiswahili kwanza yeye hajui kama ni kosa kudharau mahakama???na hujasoma na kuelewa kwamba alitoa taarifa????
 
CCM wanapima upepo kuona what if viongozi wa CDM wakikamatwa. Bad tactic ni sawa na kuonja sumu kwa kuilmba, kesi yoyote ile ni lazima ionekane kuwa ni ya haki. Huu ni uonevu ambao mwisho wa siku unawaongezea CDM nguvu zaidi badala ya kuwamaliza. Suppose viongozi hawa wa CDM mmoja anakuwa anaumwa halafu itokee amefia mikononi mwa polisi je wananchi na wanachama wa CDM watawaelewa?, si ndiyo mwanza wa wananchi kuanza kujenga nyoyo za visasi na ikitokea huko nani atapona?, nchi zenye viongozi makini huwa hawawakamati viongozi popular na kuwaweka chini ya ulinzi bali huwa wanawaweka chini ya ulinzi majumbani mwao kwa kiashirio kilekile kuwa binaadamu has inherently biological risk, and can be termed as a risky investment at any time may go burst (die), and if that happen custodian will be to blame. Kumzuia mtu kama Mbowe ni risk kubwa sana kwa jeshi la polisi na usalama wa nchi, Mbowe anawafuasi na mashabiki ambao hawatawaelewa ninyi polisi endapo atawafia mikononi mwenu. Wakiamua kujichukulia sheria mikononi kwa kufanya hivyo kwa kila kiongozi wa CCM Polisi mtaweza toa ulinzi kwa viongozi wote wa CCM ?

Jeshi la polisi sasa huu ni wakati wa kufanya kazi kisomi siyo kufuata matakwa ya wanasiasa kina kikwete ambao network zinakatikatika na kupoteza uwezo wa kufanya governance risk assessments kabla ya maamuzi yao. Ninawaambia hakika Kama muheshimiwa Mbowe atafia mikononi mwemu kwa njia yoyote ile hamtakuwa na la kujitetea zaidi ya kuingia mitaani kuuwa wafuasi wenye hasira kwa kigezo cha kulinda amani, na mtakaowaua ndugu zao nao watakuwa na roho za kwa nini, the circle will start between two sides with no referee to end it.
 
Nimetoka central now bado yumo, ila uwezekano wa kumpeleka Arusha ni mdogo kwakuwa arusha mambo si shwari, vijana wapotayari kwalolote, police wanabishana wenyewe kwa wenyewe kuwa hii ishu niya arusha so apelekwe Arusha, waarusha wanasema Arusha hakutakalika
 
Nimetoka central now bado yumo, ila uwezekano wa kumpeleka Arusha ni mdogo kwakuwa arusha mambo si shwari, vijana wapotayari kwalolote, police wanabishana wenyewe kwa wenyewe kuwa hii ishu niya arusha so apelekwe Arusha, waarusha wanasema Arusha hakutakalika

Msijidai, hamna ubavu huo. Msifikiri kutamba hu JF ni sawa na nguvu ya dola. Hakuna cha Mbowe wala nani atakae kaidi amri ya mahakama atashughulikiwa kisheria.
 
Me nafikiri hawa ccm hawajajua maana halic ya hii neno, nashangaa na hii mahakama kwa kutoa agizo eti mh mbowe akamatwe wkt alishatoa taarifa juu ya suala lake, najua wanapata shinikizo kutoka kwa viongozi wa juu wa ccm, sasa nafikiri ni mda wao hao wanaotoa maagizo hayo kujua nini maana ya nguvu ya umma! Mabomu, risasi, bunduki, maji washa, mbwa, farasi, defender, virungu, bado havifui dafu mbele ya peoples power.
 
Kuna mtu anakumbuka hotuba ya Salma Kikwete hivi karibuni akitishia uwezekano wa serikali ya mume wake kuwachukulia hatua wapinzani wanaombughudhi?
 
CCM needs visionary leadership ASAP. Uongozi uliopo umeshindwa kuhimili vishindo na mitego ya CDM, na vitendo km hivi vinawapandisha chati CDM na kuwaongezea umaarufu bila ccm kujua. CCM wanadhani wanawakomoa CDM, kumbe ndo wanawapa umaarufu zaidi.

RIP CCM.
 
Jaman, kabla ya kukurupuka na kuanza kusapoti kitendo cha kukamatwa mh mbowe, lazma ujue yafuatayo:-
1) mbowe ni waziri mkuu kimvuli.
2)kiongozi wa kambi rasmi mbungeni
3)mbunge wa urt.
Na zaidi ya yote, alishatoa taarifa mapema ya kutohudhuria kwake na mahakama ilikubali. Iweje tena hiyo hiyo mahakama itoe warant ya kukamatwa?
Kinachotafutwa hapa si mbowe pekee, ni viongozi wote wa cdm na damu za wana chadema pale watakapopinga hatua hizo dhalimu. Pia ccm wanajua wameanda bajet bomu hivyo wanatumia mgongo wa court kuwanyima muda viongoz hao kuchambua madudu ktk bajet hiyo. Kwa haya yanayoendelea ipo siku, ipo siku ambayo haipo mbali, tz itaamka tofauti kabisa. Tunaojadili mambo, tutumie vichwa vyetu na tuache ushabik. Mimi ambaye leo ni mwana chadema, nilikuwa ccm hapo kabla. Baada ya kuona uonevu na ubabaishaji wa ccm na serikar yake na mauaji ya zanzba ya mwaka 2001, nlikihama ccm na kwenda cdm. Wanaoonewa, kunyanyaswa, kudhalilishwa, kuteswa na kuuawa na watz wenzetu kwa hiyo ni ndugu na kaka zetu na kwa hiyo ni wenzetu na ipo siku itatokea kwa mdogo wako, sijui bado utaendelea kushabikia? Wote ni watanzania, hakuna aliye mtanzania zaidi ya mwenzake.
 
nadhani hujawagusa..kwani sio kwamba HAWAELEWI instead HAWAJUI KABCA...people's power iz s'thing dat will tek eternity to stop it...:becky:
 
hadi sasa sheria imechukua mkondo wake.

na chadema wanavyojinadi kuwa ni waumini wa sheria. kwa hio watulie ili sheria iendelee kufata mkondo wake.


waende mahakamani na kama wanahoja za kutoa watapambana huko mahakamani.


wasijaribu kutuharibia nchi, maana dola kwa nguvu zake zote itasimama kuhakikisha inalinda amani ya nchi, kwa gharama yoyote ile, nchi haitoweza kuacha wale magoi goi kuifanya nchi yetu kama haina sheria za kuiongoza.


poleni sana wanachadema, ila mnatakiwa na nyny kama wapenzi kwa viongozi wenu kuwashauri kufata sheria, na kama wanaona sheria haziko fair watumie bunge na njia halali kurekebisha sheria hizo ili zisomeke ktk wanachoona wao kuwa ni sawa.
 
Back
Top Bottom