Bangi sometimes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bangi sometimes

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mwl, Jun 3, 2011.

 1. m

  mwl JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 180
  Wavuta bangi waliokuwa maskani walipokolewa mmoja akatoa ushauri kuwa ukuta ulio mbele yao unawazuia kuwaona manjagu wakija, kwahiyo wausukume wausogeze. Wakavua mashati na flana zao wakawa wanasukuma ukuta, akapita kibaka akaondoka na nguo zile. Mmoja kati ya wavuta bangi kuangalia haoni mashati, akawaambia wenzake: "Washkaji eeeh inatosha tumekwisha ufikisha mbali hamuoni hata nguo zetu hatuzioni? au vipi.
   
 2. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndio bangi nibangue.
   
 3. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  ahahahaaa. Ganja noma chali yangu.
   
 4. G

  Good boy Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haahaahaaaaaaaa! Kweli bangi noma,
   
 5. N

  Ndokororo Member

  #5
  Jun 4, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gamuma noma!hasa ikichanganywa na kuberi+sigara nyota+mavi ya mjusi au kuku yale meupe,halafu upige mipodo miwili!weeh! Waya umeme unaziona sawa na kamba za kuanikia nguo,unataman utundike sati.
   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Bangi bangeni kama uongo ulizeni mbuzi angekula majani. Uongo bwana. Kweli bwanaaa. Alaatul.
   
 7. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we Ndokororo kuberi bado zipo? Maana hivisasa waliokuwa walaji wa kuberi wanakula ugoro.
   
 8. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa,mi nakumbuka nikiwa kwa bibi kijiji cha Isoka zambia,kuna jamaa mchunga ng'ombe alivuta banghi kinoma.Mara ghafla jamaa akatoka nduki huku ameinama,tukamuuliza kulikoni,akajibu;'mawingu yanashuka yanataka kumdondokea!'.
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  kush kitu cha a taun tataa kule buemba.
   
 10. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hiyo kitu ya malawi nini?
   
 11. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  E bwana inachekesha!
   
 12. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahahaha
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahah
  safi sana mmhh
   
Loading...