Usijidai mjuaji, unadhihaki tu, paja ni la nani? Si vyema ukudhihaki wakati aujui lolote....... unasoma mistari inayo support na kushibisha dhihaka yako bile kuelewa na kurukia mambo
Mh mh bado hujui shida, kuna mtu tupo hosp na mkewe budget ya kujifungua imepungua usiku kwa 50.000 watatumia hizo facilities? Wewe ni graduate ambaye ndo umepata ajira hata ujaoa na kama una gf atakuwa amepata tabu sana, najua kuwa na hela nyingi sana, najua kuwa na magari zaidi ya 4 na kuamja...
Nimetaabika sana katika hilo, wakati nilipokuwa na hela sana alikuwa safi, nikawa sina yeye anayo, akanidhalilisha sana, sasa nimekuwa nazo tena kawa malaika....
Hawa wanawake waoneni hivi hivi tu, sio watu wazuri, wauwaji wakubwa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.