Naibu waziri Juma Awesu atoa ofa ya kuwalipia kiingilio mashabiki wote watakaowahi uwanjani kabla hajaingia Taifa Stars vs Uganda

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,750
147,942
Naibu waziri wa maji mh Awesu amesema atawalipia kiingilio mashabiki wote atakao wakuta uwanjani kesho katika mechi ya Stars na Uganda.

Awesu amesema atafika mapema uwanjani akiwa amevalia jezi za Stars na unachotakiwa kufanya ni kumkimbilia na kumshika mkono tu basi mtaingia naye ndani ya uwanja.

Vijana changamkieni fursa hiyo mkaishangilie Taifa Stars
Source Clouds 360 on saturday

Maendeleo hayana vyama!
 
Mnataka tu kutoa kafara watoto wa watu kwa sababu ya hiyo fujo, na kufungwa mtafungwa
 
Naibu waziri wa maji mh Awesu amesema atawalipia kiingilio mashabiki wote atakao wakuta uwanjani kesho katika mechi ya Stars na Uganda.

Awesu amesema atafika mapema uwanjani akiwa amevalia jezi za Stars na unachotakiwa kufanya ni kumkimbilia na kumshika mkono tu basi mtaingia naye ndani ya uwanja.

Vijana changamkieni fursa hiyo mkaishangilie Taifa Stars
Source Clouds 360 on saturday

Maendeleo hayana vyama!

Namkubali sana huyu Waziri ila sikubaliani nae na huu Utaratibu wake alioutoa kwani umekaa kama vile Kiuchoyo Uchoyo ( Ulugume Ulugume ) hivi na badala yake nadhani kwa Hadhi yake angesema tu kwamba anatoa Pesa fulani ili Watu wa Idadi fulani waingie nadhani ingependeza kuliko hii. Sasa anaposema kuwa Watu wafike Uwanjani hiyo Kesho na wakimuona tu wakimbilie atawapa Tiketi je ikitokea akawaona Watu wengi ( Nyomi ) linamfuata na akitoka baru ( akikimbia haraka ) na akiingia ndani hawa wa Nje wataingiaje? Na nasikia pia kuwa anajua kweli kutoka baru ( kukimbia ) hivyo kuna uwezekano hata hiyo Kesho akawaacha Watu solemba vile vile na wakaishia tu Kunywa na Kugongea zao Pombe pale Mnazini na kwa Chichi Baa huku Nyuso zao zikikunjamana kwa Hasira ya Kukosa Tiketi kutoka kwa Naibu Waziri Jumaa Awesu.
 
Back
Top Bottom