Ugomvi mwingine ni majanga!

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
93,399
110,069
Hii habari nilipoisoma binafsi nikicheka sana, ni ya ukweli kabisa...

Jamaa kapigana na "mungu" na akamshinda, kama hiyo haitoshi kuwa janga. Jamaa kamshinda "mungu" kwa kupitisha mkono na "kumgusa" kwenye "uvungu" wa paja la "mungu". Jaza mwenyewe huo uvungu wa paja ni wapi?

Mwanzo 32:
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
 
Unazungumzia Mungu au mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wanasema Jacob alipigana na Malaika
Wewe tafsiri kwa lugha upedavyo, mImi nimeisoma Kiswahili na huu ugomvi umenichekesha sana. Jamaa aligusa wapi?
25.Yeye alipoona kwamba hakuwa amemshinda,+ akagusa tundu la fundo la paja lake; nalo tundu la fundo la paja la Yakobo likateguka wakati wa kupigana naye mweleka.
 
Hii habari nilipoisoma binafsi nikicheka sana, ni ya ukweli kabisa...

Jamaa kapigana na "mungu" na akamshinda, kama hiyo haitoshi kuwa janga. Jamaa kamshinda "mungu" kwa kupitisha mkono na "kumgusa" kwenye "uvungu" wa paja la "mungu". Jaza mwenyewe huo uvungu wa paja ni wapi?

Mwanzo 32:
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.

Hamkai mkauliza mnakuja na tafsiri zenu za kihuni na kejeli mkifikiri kwamba Mungu anazihakiwa
 
Ila wanasema Jacob alipigana na Malaika

25.Yeye alipoona kwamba hakuwa amemshinda,+ akagusa tundu la fundo la paja lake; nalo tundu la fundo la paja la Yakobo likateguka wakati wa kupigana naye mweleka.
Soma nukuu ya 25 juu hapo. Fanya mchezo na tundu.
 
Hii habari nilipoisoma binafsi nikicheka sana, ni ya ukweli kabisa...

Jamaa kapigana na "mungu" na akamshinda, kama hiyo haitoshi kuwa janga. Jamaa kamshinda "mungu" kwa kupitisha mkono na "kumgusa" kwenye "uvungu" wa paja la "mungu". Jaza mwenyewe huo uvungu wa paja ni wapi?

Mwanzo 32:
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Hili nalo ni tatizo LA mwanamke kuwa mpweke akiwa na nyege, sasa sijui mpaka zamu yako ifike utakuwa umposti ujinga kiasi gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom