Alama hizi za bra zinatokaje?

Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
862
1,000
Unaonekana una haraka, utajiharibu ngozi bure. Kuwa mwenye subira, punguza matumizi ya hiyo kitu itapungua au kuondoka kabisa. Aidha, fikiria upya aina za bra unazotumia hasa material na size. Kuna material zenye nailoni kwa wingi si nzuri, naona hii hata vichupi vyenu vile kama kamba, vingi vina nailoni, mwili/ngozi haipumui, inachomeka haswa.
 

gonjabombo

Member
Mar 13, 2019
53
125
Habari zenu wanawake wenzangu..
Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia

Je kuna dawa yyt au mafuta yyt yanayoweza kusaidia kutoa!?yaan inafikia hatua unashindwa kuvaa backdress..au nguo zifananazo ..kama offshoulder!sio mabegani tu ni had huku mgongoni...itafikia kipindi ht kwenda beach tutaogopa..!hebu nataka jua na nyie zinawatokea..at first nilikua nalala na bra.. (mazoea mabaya)sasa hv nimeacha ila alama bado tu😒😒😒😒😒!
cc.
Nalendwa ,Shunie espy Heaven Sent Meeyah !

Wanawake mna tabu kweli, thats being a woman, kama utaki kuwa mwanaume... hizo alama ni pambo,zinapendeza
 
Top Bottom