Recent content by gonja

  1. G

    Diwani wa CCM aliyeua watu 2 aachiwa huru na hakimu badala ya jaji!

    Sasa wewe mtoa mada acha kumchafua hakimu.kesi ya mauaji mwenye mamlaka ya kuifuta kabla haijaanza kusikilizwa ni mwanasheria wa serikali na kwa maana ya mahakama ya karagwe ni yule wa bkb.hakimu analetewa nolle prosequi na anafuta kesi tu.kama ungesema ni wakili wa serikali kalamba hela...
  2. G

    CCM yateuwa makatibu wa mikoa 3, Makatibu wa Wilaya 24, Makatibu wa UVCCM, UWT na WAZAZI

    MwanaDiwani Duh kati ya makatibu 24 naona 6 tu ni wakristo.kuna mkakati gani hapo?sio lengo langu kuleta udini lakini nimeshtuka tu
  3. G

    Wanawake wa kiafrika hawajui kuhamasisha kufanya tendo la ndoa

    kwani mtoto shule ni mwanamke tu anampeleka?wengine hata ada hawajui inalipwaje lakini kitandani wavivu.kikubwa muelewe kuwa mnapozembea mnachangia sisi kutamani kuwa na ka mwanamke ka pembeni kupata penzi ili tukirudi nyumbani tufanye tu kama mfano
  4. G

    Hatuna mbunge Chilonwa

    mkuu umenipeleka mbali sana. ONGEZEA i am taking this girl to hospital,if police come tell him chonya of chilonwa me.mitoto ya siku hizi haina uwezo wa kukumbuka maneno kama haya labda uwaulize beti ya wimbo wa ali kiba,diamond et al
  5. G

    PICHA: Polisi mstaafu alivyomcharanga mapanga mwanae wa miaka 4!

    najulishwa kuwa mtoto amefariki usiku.mleta uzi affuatilie atupe ukweli zaidi.nawasilisha
  6. G

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    mbona mkapa hana mtoto mwenye jina hilo?
  7. G

    Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

    ni das aliepigika sio dc.
  8. G

    Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

    Aliechapika ni das sio dc.nina uhakika niko bmulo.amengoleka jino jana ndo kala kipigo cha soldiers kutoka kikosi cha 23 kj
  9. G

    Fain mahakamani

    fine is paid immediatel kama huna fine unaenda jela kama convict hadi ulipe fine.labda mahakama isimamishe kifungo muda fulan hadi ulipe fine.fine hua inaendana na kifungo
  10. G

    Werema, aibu tupu

    Jk kamteua.bora katiba itake kusaili kama ken
  11. G

    Lowassa na siasa za makanisani?

    huyu masota si ndio aligombea ubunge ilemela akabwagwa kura za maoni na dialo?nadhan atakuwa kundi la lowasa na ni mpango wa urais huo.
  12. G

    Slaa, Lissu na wafuasi wao wafikishwa mahakamani Arusha

    kwani alivyotoka mtei aliyerithi ni mbowe?au wewe kilaza?
  13. G

    Mwanza hali si shwari, risasi za moto na mabom ya machozi yapigwa

    Kwa ufupi japo sijasoma posts zenu zote lakini ukweli ni kuwa kesi ilipelekwa mahakamani leo kwa ajili ya kusomwa hoja za awali na sio hukumu.Hoja za awali zilisomwa na kesi imeahirishwa mpaka tar 24 nov kwa ajili ya kusikilizwa.Hapa ndipo wavaa suruali fupi walipotaka kufanya fujo mahakamani na...
  14. G

    Chanzo cha kufungiwa kwa mabasi ya Dar Express ni Ridhiwan JK

    swali ni je kweli hayo mabasi yamefungiwa au yapo barabarani?
  15. G

    Kiwanja kinauzwa/30mx35m/

    Ingetosha kusema kipo Goba na sio kuzunguuka mara mbezi mwisho mara matosa mara karibu na shule.kwanza kuna umeme?maji? kiwanja kimepimwa?gari inafika site?hizo ni features nazoona zinatakiwa uelezee
Back
Top Bottom