Mkuu wa Wilaya Biharamulo apewa Kichapo

Aliechapika ni das sio dc.nina uhakika niko bmulo.amengoleka jino jana ndo kala kipigo cha soldiers kutoka kikosi cha 23 kj
 
Naomba yeyote anifafanulie: hivi kazi za wakuu wa wilaya ni nini kama shughuli zote za maendeleo ziko chini ya DED na wenyeviti wa wilaya au manispaa. Mtu akikosa kazi anajaribu kushika huku na huko angalao aonekane anafanya kitu hata kama hakina tija. Kwa nini alaumiwe. Matokeo yake ni kukutwa na dhoruba isiyotarajiwa.
Kazi ya mkuu wa wilaya ni kukijenga chama ndni ya wilaya husika. Napia ni kuhakikisha unatengeneza mazingira ya kudhoofisha upinzani kwenye wilaya yako.
 
Safi sana vijana JWTZ, mgevunja mbavu na miguu kabisa. Na sasa tutawapa kazi ya kuwapiga bakaro mafisadi wote mkianza na baba la mafisadi Mkapa.
 
Amini usiamini Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo (Mr. Kahindi) amepewa kichapo cha mwaka na Askari (JWTZ) baada ya kukamata Piki piki yao iliyokuwa inasafirisha mali za askari mwenzao ambae alikuwa amefia Hospitalini Bugando, hivyo waliamua kuisafirisha kuipeleka kwao na marehemu then yeye akaikamata. Baada ya kuikamata uzalendo ukawashinda wakampa kichapo kikali mpaka sasa amelezwa hosp ya Wilaya na yupo hooooooooiiiiiii.

Source: Mwenyewe nipo hapa Biharamulo
good news! na watapigika sana mwaka huu, wananchi tushachoka na mapembe yao, mwaka wa 50 sasa tunanyanyasika dah! thanx jwtz
 
Yes,zawadi stahiki juu ya kuingilia kazi zisizo muhusu!!! Wanaviburi sana kwa kuwa wameteuliwa ma mkuu wa kaya,so hawatishiki kabisa,kichapo ni zawadi tosha!!!

Alikosa semina elekezi hivyo hajui utawala bora.APUMZIKE KWA AMANI
 
JWTZ wengi wako upande wetu. Akipatikana tu wa kutuhamasisha tukaingia barabarani mchezo umekwisha! NATAMANI WAMPE KICHAPO NA MH. PUNDA!
 
Nasubiri siku watakayompa kipigo jk ndo niamini wamechoshwa na hali ya hii nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom