Mimi ni mtanzania wa kipato cha kawaida sana au tuseme cha chini.Ndoto yangu ni kumiliki japo gari dogo.Hofu yangu ni kuwa sijui lolote ktk ulimwengu wa magari hususani aina,bei,fuel consuption,uimara,upatikanaji wa spea nk.Kati ya magari niyapendayo kwa macho japo sifahamu lolote kuyahusu ni...